Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo naljua kkpole sana..ila mimi sijawahi pata tatizo katika kuagiza kwangu bidhaa hvo sjawah fikia uamuz wa kutaka refund...ila nadhani pia umakini unshitajika katika kuchagua sellers wa kukuuzia bidhaa...tue tunajaribu sana kusoma reviews za wengine waliowahi agiza bidhaa husika kabla ya kufanya muamala wa "Alipay"