Second Fiddle
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 469
- 121
Miaka yote kombe lenu ni Top4! Safari hii kulikoni mbona hatuwaeleni? Kuweni wastaarabu basi kwenye mechi zilizosalia muonyeshe uprofeshenolizm! Yaan mtuovertek kwel mwishon kabisa wakat msimu mzima toka day 1 tunaongoza!? Tunajua uwezo mnao wa kumaliza league bila kupoteza hata mechi moja, lakn huo sio uprofesheno! Kuweni FAIR jamani MTAUA WATU! (wale wakuweka mizigo)