Hawa askari Magereza wanaompeleka Sabaya mahakamani wana mikwara ya ajabu sana

Mkuu askari magereza huku mitaani wanadharaulika sana kimakosa.
Hao jamaa ukiingia anga zao huko jela utaomba ufe ili upate nafuu kuliko shughuli zao.
Siyo poa kabisa hao jamaa.

Hao jamaa hata bila silaha wanapiga mkono mwingi sanaaa.
Hao martial arts ni kama uji kwa mgonjwa.
Kaka mimi hao watu nimeishi nao tokea utotoni mpaka ukubwani. Ni weupe sana tu. Hizo mbwembwe za kusema wanapigana sijui nini ni wanaonea wafungwa tu ambao ni kama hawana haki wala uwezo wa kujibu kitu ila kitaa tunawavuruga tu kama kawaida.
 
Siyo wote.
Kuna maalum ambao hata shetani anawachukia na kuwaogopa.
 
Siyo wote.
Kuna maalum ambao hata shetani anawachukia na kuwaogopa.
Hahaha yes hao niliwaona pale mahakama ya Kibaha kwenye kesi zile za wale jamaa wa Kibiti. Hao jamaa ni hatari kwanza ikiwa siku ya keshi eneo lote la mkoani linakuwa cordoned haruhusiwi kuingia raia bila ID (wafanyakazi wa Tanesco, TRA, NSSF n.k).
 
Mbona huyo mlinzi wa Sabaya anayekaa upande wake wa kulia ni kama anachechemea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…