GE2025 Hawa Bananga: Msipige kelele, tulijisaidia kichakani tukiijenga CHADEMA

GE2025 Hawa Bananga: Msipige kelele, tulijisaidia kichakani tukiijenga CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wanaopiga kelele sasa hivi kwasababu kuna nyomi, wajue kuwa sisi tulianza mbali sana na CHADEMA. Yaani tunaenda kujisaidia kichakani wakati tunazunguka kutafuta kura..” - Mbunge wa zamani wa Viti Maalum Hawa Bananga akifunguka kupitia One on One

 
Back
Top Bottom