GE2025 Hawa Bananga: Nimerudi CCM kufanya kazi sio kisa nimefukuzwa CHADEMA

GE2025 Hawa Bananga: Nimerudi CCM kufanya kazi sio kisa nimefukuzwa CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966

​
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Hawa Bananga akijibu maswali kupitia kipindi cha One on One with ya Wasafi TV.

Hawa kwa sasa ni mwanachama wa CCM na amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini amefunguka mengi.

Hawa Bananga, mmoja kati ya waliokuwa Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama na CHADEMA, akijibu maswali kuhusu mkasa wao dhidi ya chama.
 
Back
Top Bottom