W Wild Flower JF-Expert Member Joined Jul 20, 2023 Posts 977 Reaction score 1,966 Jul 22, 2025 #1 Your browser is not able to display this video. Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Hawa Bananga akijibu maswali kupitia kipindi cha One on One with ya Wasafi TV. Hawa kwa sasa ni mwanachama wa CCM na amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini amefunguka mengi. Hawa Bananga, mmoja kati ya waliokuwa Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama na CHADEMA, akijibu maswali kuhusu mkasa wao dhidi ya chama.
Your browser is not able to display this video. Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Hawa Bananga akijibu maswali kupitia kipindi cha One on One with ya Wasafi TV. Hawa kwa sasa ni mwanachama wa CCM na amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini amefunguka mengi. Hawa Bananga, mmoja kati ya waliokuwa Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama na CHADEMA, akijibu maswali kuhusu mkasa wao dhidi ya chama.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Jul 22, 2025 #2 Anaendeleza utapeli wake!Like me like ke.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Jul 22, 2025 #3 Wild Flower said: View attachment 3414659 Click to expand... Asitusumbue
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,190 Reaction score 4,314 Jul 22, 2025 #4 anachoulizwa na anachojibu ni mbingu na ardhi.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Jul 22, 2025 #5 dikir kab can said: anachoulizwa na anachojibu ni mbingu na ardhi. Click to expand... Hskuandaliwa script ya kufuatisha kama zuzu.
dikir kab can said: anachoulizwa na anachojibu ni mbingu na ardhi. Click to expand... Hskuandaliwa script ya kufuatisha kama zuzu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Jul 22, 2025 #6 dikir kab can said: anachoulizwa na anachojibu ni mbingu na ardhi. Click to expand... Akili kisoda
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 22, 2025 #7 Duh aiseee