Hawa 'Be Forward' wapo serious kweli?

Hawa 'Be Forward' wapo serious kweli?

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Huwa naipitia hii page mara kwa mara lately, sasa leo nakutana na hili; Hivi kweli gari dola 27? Na utalitoa vipi bandarini au ndio litapigwa mnada? Sidhani kama wapo siriaz.
 
Attachments

  • 1423529348132.jpg
    1423529348132.jpg
    70.6 KB · Views: 1,852
wapo 'siriaz' ndio maana umeona hivyo...

na pia tazama kila bei wameweka kiasi cha asilimia ambazo una-save...
 
Ulijaribu kununua kwa dolla 27 wakakugomea? Usilaumu Kama ujachukua hatua hapa nililipo mfano nimedonate magari 3 bure salvation army na ni watu wengi tu wamefanya hivyo
 
wapo serious, sema matatizo utakayokutana nayo kwenye hiyo gari milioni itakutoka fasta tu kwenye marekebisho
 
Kweli na sisi maasai tuibukie kutembea kwa gari na hizi fimbo zikae chini, Beforward utainjoy ukifika ofisini Ocean road, online wengine ni hackers tu
 
Huwa naipitia hii page mara kwa mara lately, sasa leo nakutana na hili; Hivi kweli gari dola 27? Na utalitoa vipi bandarini au ndio litapigwa mnada? Sidhani kama wapo siriaz.

Wapo very serious,ni ww tu na uhitaji wako wa hilo gari,kwanza kuuzwa hivyo wapo kwenye sale yao ya valentine na hilo uliliona one of the selected na hiyo sale ni 90% off unaweza pima sasa.
Agiza ukomae nalo au liendeshe kwa macho kwenye yard yao huko be foward,Ila Wa-Japan wa Be Foward wako serious sanaa tu.................
 
Huwa naipitia hii page mara kwa mara lately, sasa leo nakutana na hili; Hivi kweli gari dola 27? Na utalitoa vipi bandarini au ndio litapigwa mnada? Sidhani kama wapo siriaz.
wapo serious kwa sababu hiyo ni Free on Board (FOB) price,gari ikiwa bado katika yard zao japan, tafuta Carriage Insuarance and Freight (CIF) price ya gari hilo mpaka bandarini DSM ndo utapata bei yenyewe.
 
Huwa ni technics za marketing wanaadjust kwenye FOB lakini wanakuja kubana kwenye CIF.Ukitaka kuona ujanja huo calculate total price utaona haina tofauti sana na kabla ya hilo punguzo. Lakini kikubwa zaidi hata kweli kama hiyo bei ilikuwa ni CIF ungenunua fresh na ungekuja kulitelekeza bandarini maana utakutana na CALCULATOR gandamizi ya TRA.Gari hata kama limetengenezwa mwaka huu utalipia uchakavu. Hii ni hatari kubwa sana kodi ni nyingi na wala hazizingatii umebagain gari na kuuziwa kwa shilingi ngapi wao tayari wameandaa price list yao
 
Ulijaribu kununua kwa dolla 27 wakakugomea? Usilaumu Kama ujachukua hatua hapa nililipo mfano nimedonate magari 3 bure salvation army na ni watu wengi tu wamefanya hivyo

mkuuu jeshi la wokovu na beforward kuna uhusiano gani
 
Huwa ni technics za marketing wanaadjust kwenye FOB lakini wanakuja kubana kwenye CIF.Ukitaka kuona ujanja huo calculate total price utaona haina tofauti sana na kabla ya hilo punguzo. Lakini kikubwa zaidi hata kweli kama hiyo bei ilikuwa ni CIF ungenunua fresh na ungekuja kulitelekeza bandarini maana utakutana na CALCULATOR gandamizi ya TRA.Gari hata kama limetengenezwa mwaka huu utalipia uchakavu. Hii ni hatari kubwa sana kodi ni nyingi na wala hazizingatii umebagain gari na kuuziwa kwa shilingi ngapi wao tayari wameandaa price list yao

yes kwa mfano dola 27
mpaka gari lifike ni dola 1400 na kitu bado ujalipa kodi na kuliiingiza barabarani
gari la laki 2 za madafu unakuja kulipata likiwa na milion 4
aisee shida sana ila
lengo nilitaka kale ka nissan serena ngoja nikuekee hapa uone mpaka likifika dar port au mombasa na bei za za yard ya japan ni maajabu
 
Kweli na sisi maasai tuibukie kutembea kwa gari na hizi fimbo zikae chini, Beforward utainjoy ukifika ofisini Ocean road, online wengine ni hackers tu

unanishauri niende ofsin kwao nielekeze ni wap
 
Maasai Dada hiyo bei ni ya ukweli kabisa,we tafuta kigari chako tu hapo unachokipenda agiza,hiyo FOB itakuokoa kwenye penalt za TRA utaokoa pesa ya kutosha tu,mengi ya hayo magari ni yale yenye CC kubwa(fuel consumption kubwa)kiasi kwamba hayauziki sana huku kwao wameona bora yauzwe kwa bei poa yaondoke,kwa taarifa tu ni kuwa yasipotoka inabidi yakatupwe ambapo wabongo ndo wanajipatia spare bwerere kuja kutulangua huku kwetu
mkuuu jeshi la wokovu na beforward kuna uhusiano gani
 
yes kwa mfano dola 27
mpaka gari lifike ni dola 1400 na kitu bado ujalipa kodi na kuliiingiza barabarani
gari la laki 2 za madafu unakuja kulipata likiwa na milion 4
aisee shida sana ila
lengo nilitaka kale ka nissan serena ngoja nikuekee hapa uone mpaka likifika dar port au mombasa na bei za za yard ya japan ni maajabu
upoa sahihi Dada wa kimasai hawa Be forward si wakweli kabisa km ulivyosema hiyo ni bei ya kwao huko Japan bado kulisafirisha na kulilipia hapa TRA TZ
kuna Noah yao ipo kwenye kila page ni nyeusi lakini ubavu wa kushoto imegongwa ipo ktk kila page nime click Qiatation yake na kujijaza

  • nimegundua ni waongo kwani hawajanijibu na kila siku wanaitangaza
  • na sasa wamesema ni punguzo kwa ajili ya Valentine wakati gari hiyo ipo tangu X-mas
 
Kweli na sisi maasai tuibukie kutembea kwa gari na hizi fimbo zikae chini, Beforward utainjoy ukifika ofisini Ocean road, online wengine ni hackers tu

hackers kivipi wakati hiyo ni website yao? unamshauri mwenzako akaumize makalio kwenye benchi kwa ajili ya gari moja? order online at your convinience masai dada likifika dar we tumia clearance agent mwingine achana na beforward utaumia. bei ulizoona ndiyo bei, wanapofanya promo hayo magari huwa wanafanya kama kusafisha yard yaondoke yaache nafasi ya mzigo mpya, unakuta yamekaa sana, usiogope lakini hayana ubovu wowote ni mazima kabisa. kuna kampuni zingine huwa wanafanya promo ya nunua mawili pata moja bure, hizi gari huko japani ni kama mitumba ilala.
 
Last edited by a moderator:
upoa sahihi Dada wa kimasai hawa Be forward si wakweli kabisa km ulivyosema hiyo ni bei ya kwao huko Japan bado kulisafirisha na kulilipia hapa TRA TZ
kuna Noah yao ipo kwenye kila page ni nyeusi lakini ubavu wa kushoto imegongwa ipo ktk kila page nime click Qiatation yake na kujijaza

  • nimegundua ni waongo kwani hawajanijibu na kila siku wanaitangaza
  • na sasa wamesema ni punguzo kwa ajili ya Valentine wakati gari hiyo ipo tangu X-mas

sisi wabongo tuna matatizo, hebu sema umedanganywa nini hapo? umeambiwa wazi kabisa hiyo $27 ni FOB, upande wa kulia wanakubainishia CIF, kama una njia zingine za kulisafirisha wewe walipe hizo elfu hamsini kachukue gari lako kwenye yard yao KOBE, KYUSHU au popote lilipo halafu lisafirishe mwenyewe kwa courier umjuaye!

Na hiyo NOAH iliyokwaruzwa ni juu yako ukipenda ununue au usinunue, wangekuwa waongo wangekuficha usione kama imekwaruzwa. hiyo gari itatakiwa kufanyiwa inspection, kama mkwaruzo ni mkubwa sana inaweza kufail inspection, ikifail wakati umeshalipa wanarekebisha gari kwa gharama yao au wanakuambia uchague nyingine kwa pesa hiyohiyo. niliwahi kununua Vitz new shape ikiwa na mkwaruzo mbele, ikafail inspection wakairekebisha wao, japo iliongeza muda wa kusubiri lakini gari ilipofka bongo sikuweza hata kujua ni wapi ilikuwa na mkwaruzo, kitu kimenyooka.
 
sisi wabongo tuna matatizo, hebu sema umedanganywa nini hapo? umeambiwa wazi kabisa hiyo $27 ni FOB, upande wa kulia wanakubainishia CIF, kama una njia zingine za kulisafirisha wewe walipe hizo elfu hamsini kachukue gari lako kwenye yard yao KOBE, KYUSHU au popote lilipo halafu lisafirishe mwenyewe kwa courier umjuaye!
Na hiyo NOAH iliyokwaruzwa ni juu yako ukipenda ununue au usinunue, wangekuwa waongo wangekuficha usione kama imekwaruzwa. .
Mkuu labda kwa niaba ya masai dada uijaze hiyo kuponi iliyo katika Desktop ya JF
fuata maelekezo yote halafu utatupa jibu kwani hilo Tangazo ni la toka Disemba 2014
na gari hiyo mm niliitaka hawajanijibu na wanalitangaza kila Blog na magazeti
Naomba ufuatilie maelekezo yao yote na ulichukue mm nitakuja kulinunua kwako hapa TZ maana kuna mahali umesema ww ni muuzaji/Muagizaji wa magari haya ya Kijapan

8P6h4 TPEUMScAAAAASUVORK5CYII=
 
with pleasure mkuu, halafu nilikuwa sijajua kama ni wewe tumekutana tena huku....lol! hiyo gari mlikuwa mmeshaomba invoice? niinbox majina mliyoombea, pia nipatie BF Number maana kuisaka bila namba itachukua muda. Mimi ntawasiliana beforward japan moja kwa moja kwa simu, kama gari bado ipo mtatumiwa invoice mara moja.
 
Back
Top Bottom