masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa naipitia hii page mara kwa mara lately, sasa leo nakutana na hili; Hivi kweli gari dola 27? Na utalitoa vipi bandarini au ndio litapigwa mnada? Sidhani kama wapo siriaz.
wapo serious kwa sababu hiyo ni Free on Board (FOB) price,gari ikiwa bado katika yard zao japan, tafuta Carriage Insuarance and Freight (CIF) price ya gari hilo mpaka bandarini DSM ndo utapata bei yenyewe.Huwa naipitia hii page mara kwa mara lately, sasa leo nakutana na hili; Hivi kweli gari dola 27? Na utalitoa vipi bandarini au ndio litapigwa mnada? Sidhani kama wapo siriaz.
Ulijaribu kununua kwa dolla 27 wakakugomea? Usilaumu Kama ujachukua hatua hapa nililipo mfano nimedonate magari 3 bure salvation army na ni watu wengi tu wamefanya hivyo
Huwa ni technics za marketing wanaadjust kwenye FOB lakini wanakuja kubana kwenye CIF.Ukitaka kuona ujanja huo calculate total price utaona haina tofauti sana na kabla ya hilo punguzo. Lakini kikubwa zaidi hata kweli kama hiyo bei ilikuwa ni CIF ungenunua fresh na ungekuja kulitelekeza bandarini maana utakutana na CALCULATOR gandamizi ya TRA.Gari hata kama limetengenezwa mwaka huu utalipia uchakavu. Hii ni hatari kubwa sana kodi ni nyingi na wala hazizingatii umebagain gari na kuuziwa kwa shilingi ngapi wao tayari wameandaa price list yao
Kweli na sisi maasai tuibukie kutembea kwa gari na hizi fimbo zikae chini, Beforward utainjoy ukifika ofisini Ocean road, online wengine ni hackers tu
mkuuu jeshi la wokovu na beforward kuna uhusiano gani
upoa sahihi Dada wa kimasai hawa Be forward si wakweli kabisa km ulivyosema hiyo ni bei ya kwao huko Japan bado kulisafirisha na kulilipia hapa TRA TZyes kwa mfano dola 27
mpaka gari lifike ni dola 1400 na kitu bado ujalipa kodi na kuliiingiza barabarani
gari la laki 2 za madafu unakuja kulipata likiwa na milion 4
aisee shida sana ila
lengo nilitaka kale ka nissan serena ngoja nikuekee hapa uone mpaka likifika dar port au mombasa na bei za za yard ya japan ni maajabu
Kweli na sisi maasai tuibukie kutembea kwa gari na hizi fimbo zikae chini, Beforward utainjoy ukifika ofisini Ocean road, online wengine ni hackers tu
upoa sahihi Dada wa kimasai hawa Be forward si wakweli kabisa km ulivyosema hiyo ni bei ya kwao huko Japan bado kulisafirisha na kulilipia hapa TRA TZ
kuna Noah yao ipo kwenye kila page ni nyeusi lakini ubavu wa kushoto imegongwa ipo ktk kila page nime click Qiatation yake na kujijaza
- nimegundua ni waongo kwani hawajanijibu na kila siku wanaitangaza
- na sasa wamesema ni punguzo kwa ajili ya Valentine wakati gari hiyo ipo tangu X-mas
Mkuu labda kwa niaba ya masai dada uijaze hiyo kuponi iliyo katika Desktop ya JFsisi wabongo tuna matatizo, hebu sema umedanganywa nini hapo? umeambiwa wazi kabisa hiyo $27 ni FOB, upande wa kulia wanakubainishia CIF, kama una njia zingine za kulisafirisha wewe walipe hizo elfu hamsini kachukue gari lako kwenye yard yao KOBE, KYUSHU au popote lilipo halafu lisafirishe mwenyewe kwa courier umjuaye!
Na hiyo NOAH iliyokwaruzwa ni juu yako ukipenda ununue au usinunue, wangekuwa waongo wangekuficha usione kama imekwaruzwa. .

Mkuu labda kwa niaba ya masai dada uijaze hiyo kuponi iliyo katika Desktop ya JF
fuata maelekezo yote halafu utatupa jibu kwani hilo Tangazo ni la toka Disemba 2014
na gari hiyo mm niliitaka hawajanijibu na wanalitangaza kila Blog na magazeti
Naomba ufuatilie maelekezo yao yote na ulichukue mm nitakuja kulinunua kwako hapa TZ maana kuna mahali umesema ww ni muuzaji/Muagizaji wa magari haya ya Kijapan
![]()