C.T.U JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 5,074 Reaction score 3,743 Mar 9, 2015 #61 Hivi yule Dada mwenye kalio kubwa wa reception bado yupo..?
T Tajirilakichaga Senior Member Joined Nov 22, 2014 Posts 160 Reaction score 53 Mar 14, 2015 #62 Dreson4 said: wapo serious, sema matatizo utakayokutana nayo kwenye hiyo gari milioni itakutoka fasta tu kwenye marekebisho Click to expand... Kweli kabisa mkuu, nilishaagiza starlet kwa $100 ila ilikua mbovu sana, nilitumia ela nyingi kuirekebisha
Dreson4 said: wapo serious, sema matatizo utakayokutana nayo kwenye hiyo gari milioni itakutoka fasta tu kwenye marekebisho Click to expand... Kweli kabisa mkuu, nilishaagiza starlet kwa $100 ila ilikua mbovu sana, nilitumia ela nyingi kuirekebisha
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 18,772 Reaction score 8,939 Mar 14, 2015 #63
K king of zemunda2 Member Joined Nov 2, 2014 Posts 95 Reaction score 39 Mar 14, 2015 #64 Hao wapo serious ila uki press order profoma invoice utakapo hitaji ndo wataweka bei sahihi