Hawa 'Be Forward' wapo serious kweli?

Hawa 'Be Forward' wapo serious kweli?

Hivi yule Dada mwenye kalio kubwa wa reception bado yupo..?
 
wapo serious, sema matatizo utakayokutana nayo kwenye hiyo gari milioni itakutoka fasta tu kwenye marekebisho

Kweli kabisa mkuu, nilishaagiza starlet kwa $100 ila ilikua mbovu sana, nilitumia ela nyingi kuirekebisha
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom