masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #41
Nchi yetu ina ushuru wa ajabu. Ndio maana nchi jirani wanapitishia Mombasa
sasa yaani aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi yetu ina ushuru wa ajabu. Ndio maana nchi jirani wanapitishia Mombasa
Rene jr ya kweli haya
exchange ya leo ni zaidi sana ya hiyo, labda kama nawe ni mdau bank wanakupa special rate.kwa rate ya 1700 ni mil 4 na laki 2 na sent kadhaaa
sijui BIGURUBE anatumia vigezo gani kusema hivyo. muhimu angalia miliage ya gari isiwe kubwa saana. hebu jaribu kusort low tu high kisha angalia milage, ukipenda gari fungua picha kagua kwa uangalifu kuona kama lina mikwaruzo, angalia kwenye dash kama kuna taa yoyote ya error inawaka, kagua chini ya gari (beforward ni kati ya kampuni chache wanazoweka picha za kutosha mpaka chini ya gari) kagua tairi kama hazijawa kipara, kagua usafi wa ndani, utajua tu kama gari imefujwa. nijuavyo mimi beforward wana mbinu zao tofauti tu za kufanya biashara, uza bei ndogo, uza nyingi...na ukikuta promo kama hivi ndiyo wanasafisha ghala unauziwa bei cheap. pia ukipenda fanya ulinganifu wa gari uliyoipenda, same mile age, same color uone wauzaji wengine watakupa quotation ya bei gani. usifuate sana maneno ya wakina sisi, fanya utafiti.
hawa jamaa sio wauongo tatizo ni moja tu
chaj ya kusafirisha ni mara 10 mpaka 20 ya bei ya kulifikisha hapa kwa nyerere
imagne gari ni dola 200 hadi 400 mpaka lifike ni dola 1400 sasa hapo ujalipia ushuru na takataka zingine
hawa jamaa sio wauongo tatizo ni moja tu
chaj ya kusafirisha ni mara 10 mpaka 20 ya bei ya kulifikisha hapa kwa nyerere
imagne gari ni dola 200 hadi 400 mpaka lifike ni dola 1400 sasa hapo ujalipia ushuru na takataka zingine
mkuuu jeshi la wokovu na beforward kuna uhusiano gani
Kweli Mkuu hiyo gari naihitaji sana ila kutuma au kujaza invoice nshaona kizunguzungu ni bora nije niichukulie kwako au Be Forward hapo DSMmasai dada na Ukwaju nimeiona gari yenu, CIF $2521 (MPAKA DAR), kama mko serious semen mtumiwe invoice mlipie.
unanishauri niende ofsin kwao nielekeze ni wap
Jeshi la wokovu ni kanisa ambalo nchi zilizoendelea huwa wanasaidia watu wasio na kipato mfano wakimbizi, au we ukienda kupiga box afu ukashindwa.
So wanakusanya 2nd hand items na kugawa free au very cheap
wapo pale kwenye lile jengo hatarishi kwa usalama wa ikulu karibu na hospital ya ocean road ground floorunanishauri niende ofsin kwao nielekeze ni wap
- malizana na bwana Ukwaju alafu mimi nikutafute sasa
- mkuu usijali namuendesha bosi mmoja hapa siku nikitumwa nitakupa lift
Kweli Mkuu hiyo gari naihitaji sana ila kutuma au kujaza invoice nshaona kizunguzungu ni bora nije niichukulie kwako au Be Forward hapo DSM
Je gharama zitavuka 5m maana naona umetaja CIF wakati bado TRA na vingine
nina 5m kwani nataka niachane na Carina
Mkuu ni bora unitafutie hapo DSM kwani zoom tanzania wanazitangaza nzuri na zenye mileage ndogo kuliko za Japan na huenda ukaagiza ukatapeliwa, Meli ikapata ajali Bandarini ukaibiwaduu, hiyo haitoshi mkuu, ushuru na ghalama za bandarini tu ni zaidi kidogo ya 5m.
mpaka kuitia mkononi itakaribia 10M kaka.
Mkuu ni bora unitafutie hapo DSM kwani zoom tanzania wanazitangaza nzuri na zenye mileage ndogo kuliko za Japan na huenda ukaagiza ukatapeliwa, Meli ikapata ajali Bandarini ukaibiwa
Hizi za 5m zina Road licence na Bima ya hapa kwetu
Tembelea hii niliyoikosa juzi trh 4/Feb/2015
Rene Jr. zunguka tena hapo Mjini hutakosa
1998 Toyota Noah For Sale in Dar Es Salaam, Tanzania | Classified
![]()