Hawa Bravos wanaweza kufuzu robo kwa mara yao ya kwanza kwenye hiki kikombe cha ushilikishwaji!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Wana fitness ya hali ya juu,,wanapiga mashuti, wako vizuri sana kiufundi,Wana Kasi sintoshangaa wakifuzu robo fainali licha ya uchanga wao,,

Wataokota alama zote 9 nyumbani kwao sioni kama Simba ataambulia chochote akiwafata kwa uchezaji wao huu,,mpaka sasa wamempiga presha costsntine na kumtandika goli 2 za fasta fasta na uyo ndiye anayeonekana ana kaubora kwenye kundi.

Vipi hao waarabu Wakija kwa mkapa Simba atapata point kwao? Kama sfaxien tu imewatoa kamasi vipi Hawa Constantine? Yetu macho!
 
Simba anafuzu
Tunza hii comment
Point unazoweza kupigania labda za costantine akija kwa mkapa,,lakini na penyewe ukiangalia ubora wa costantine na timu yako unapata mashaka makubwa kama mtaweza kupata point ata Moja mbele yao,,mechi za ugenini hizo ata usijiangaishe ata kile kibonde mlichokifunga hapa kitawagonga mkienda kwao
 
Yanga vipi Mkuu😄?
 
Yanga ina point 1 halafu mnahangaika na Simba,nye ni mazumbekuku kweli
Mazumbukuku wakubwa ni wale wanaocheza kikombe cha kahawa na bado ushindi wao uwanja wa nyumbani mpaka utegemee hekima za mwamuzi,,mnakosea sana mnapolinganisha michuano miwili tofauti na yenye ubora tofauti!
 
Wana fitness ya hali ya juu,,wanapiga mashuti, wako vizuri sana kiufundi,Wana Kasi sintoshangaa wakifuzu robo fainali licha ya uchanga wao,,

Wataokota alama zote 9 nyumbani kwao sioni kama Simba ataambulia chochote akiwafata kwa uchezaji wao huu,,mpaka sasa wamempiga presha costsntine na kumtandika goli 2 za fasta fasta na uyo ndiye anayeonekana ana kaubora kwenye kundi.

Vipi hao waarabu Wakija kwa mkapa Simba atapata point kwao? Kama sfaxien tu imewatoa kamasi vipi Hawa Constantine? Yetu macho!
Weka msimamo wa kundi A la CAFCL hapa nasisi tupige hesabu za vidole tuone timu zipi zitafuzu.
 
Ile ni michuano ya wanaume ata aliyepo mwisho ni sawa na anayeongoza kundi kwenye kikombe chenu cha kahawa ivyo ni Bora MKAE kimya!
 
Point unazoweza kupigania labda za costantine akija kwa mkapa,,lakini na penyewe ukiangalia ubora wa costantine na timu yako unapata mashaka makubwa kama mtaweza kupata point ata Moja mbele yao,,mechi za ugenini hizo ata usijiangaishe ata kile kibonde mlichokifunga hapa kitawagonga mkienda kwao
Timu lenu limeoza Nyie mko busy na Simba..Niliangalia gemu ya Kengold na Namungo ilikua nzuri zaidi ya Ile ya walevi wawili utopolo Vs Mazembe! Timu lenu lumekata moto
 
Wana fitness ya hali ya juu,,wanapiga mashuti, wako vizuri sana kiufundi,Wana Kasi sintoshangaa wakifuzu robo fainali licha ya uchanga wao,,

Wataokota alama zote 9 nyumbani kwao sioni kama Simba ataambulia chochote akiwafata kwa uchezaji wao huu,,mpaka sasa wamempiga presha costsntine na kumtandika goli 2 za fasta fasta na uyo ndiye anayeonekana ana kaubora kwenye kundi.

Vipi hao waarabu Wakija kwa mkapa Simba atapata point kwao? Kama sfaxien tu imewatoa kamasi vipi Hawa Constantine? Yetu macho!
Kumbe kwenye.dk za nyongeza refa ukikalala kupoteza muda anazima saa yake, (stop watch),, refa anawapa faida wapinzani kukupelekea moto wewe ukidhani muda umeisha,

Sikuhizi sheria zimebadika, kuhusu dakika za nyongeza na kupoteza muda, wadau wa mpira chukueni hatua
 
Mazumbukuku wakubwa ni wale wanaocheza kikombe cha kahawa na bado ushindi wao uwanja wa nyumbani mpaka utegemee hekima za mwamuzi,,mnakosea sana mnapolinganisha michuano miwili tofauti na yenye ubora tofauti!
Unateseka ukiwa wapiii? Jangwani au Avic?
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ile ni michuano ya wanaume ata aliyepo mwisho ni sawa na anayeongoza kundi kwenye kikombe chenu cha kahawa ivyo ni Bora MKAE kimya!
Ni aibu kubwa na kulidharilisha dimba la mkapa Kwa vipigo Bora hata Timu isifuzu kuliko kupewa kichapo Kwa mkapa
 
Back
Top Bottom