Point unazoweza kupigania labda za costantine akija kwa mkapa,,lakini na penyewe ukiangalia ubora wa costantine na timu yako unapata mashaka makubwa kama mtaweza kupata point ata Moja mbele yao,,mechi za ugenini hizo ata usijiangaishe ata kile kibonde mlichokifunga hapa kitawagonga mkienda kwaoSimba anafuzu
Tunza hii comment
Yanga vipi Mkuu😄?Wana fitness ya hali ya juu,,wanapiga mashuti, wako vizuri sana kiufundi,Wana Kasi sintoshangaa wakifuzu robo fainali licha ya uchanga wao,,
Wataokota alama zote 9 nyumbani kwao sioni kama Simba ataambulia chochote akiwafata kwa uchezaji wao huu,,mpaka sasa wamempiga presha costsntine na kumtandika goli 2 za fasta fasta na uyo ndiye anayeonekana ana kaubora kwenye kundi.
Vipi hao waarabu Wakija kwa mkapa Simba atapata point kwao? Kama sfaxien tu imewatoa kamasi vipi Hawa Constantine? Yetu macho!
Yanga Iko shirikisho?Yanga vipi Mkuu😄?
Mazumbukuku wakubwa ni wale wanaocheza kikombe cha kahawa na bado ushindi wao uwanja wa nyumbani mpaka utegemee hekima za mwamuzi,,mnakosea sana mnapolinganisha michuano miwili tofauti na yenye ubora tofauti!Yanga ina point 1 halafu mnahangaika na Simba,nye ni mazumbekuku kweli
Naona inalidharilisha taifa Kwa vipigo lukukiYanga Iko shirikisho?
Muwe mnafanya ulinganisho na vitimu mnavyocheza navyo uko shirikisho sio klabu bingwaNaona inalidharilisha taifa Kwa vipigo lukuki
Huko tulishacheza lakini hatukuwahi kupewa vipigo vya aibu Kwa mkapaMuwe mnafanya ulinganisho na vitimu mnavyocheza navyo uko shirikisho sio klabu bingwa
Weka msimamo wa kundi A la CAFCL hapa nasisi tupige hesabu za vidole tuone timu zipi zitafuzu.Wana fitness ya hali ya juu,,wanapiga mashuti, wako vizuri sana kiufundi,Wana Kasi sintoshangaa wakifuzu robo fainali licha ya uchanga wao,,
Wataokota alama zote 9 nyumbani kwao sioni kama Simba ataambulia chochote akiwafata kwa uchezaji wao huu,,mpaka sasa wamempiga presha costsntine na kumtandika goli 2 za fasta fasta na uyo ndiye anayeonekana ana kaubora kwenye kundi.
Vipi hao waarabu Wakija kwa mkapa Simba atapata point kwao? Kama sfaxien tu imewatoa kamasi vipi Hawa Constantine? Yetu macho!
Ile ni michuano ya wanaume ata aliyepo mwisho ni sawa na anayeongoza kundi kwenye kikombe chenu cha kahawa ivyo ni Bora MKAE kimya!Weka msimamo wa kundi A la CAFCL hapa nasisi tupige hesabu za vidole tuone timu zipi zitafuzu.
Timu lenu limeoza Nyie mko busy na Simba..Niliangalia gemu ya Kengold na Namungo ilikua nzuri zaidi ya Ile ya walevi wawili utopolo Vs Mazembe! Timu lenu lumekata motoPoint unazoweza kupigania labda za costantine akija kwa mkapa,,lakini na penyewe ukiangalia ubora wa costantine na timu yako unapata mashaka makubwa kama mtaweza kupata point ata Moja mbele yao,,mechi za ugenini hizo ata usijiangaishe ata kile kibonde mlichokifunga hapa kitawagonga mkienda kwao
Kumbe kwenye.dk za nyongeza refa ukikalala kupoteza muda anazima saa yake, (stop watch),, refa anawapa faida wapinzani kukupelekea moto wewe ukidhani muda umeisha,Wana fitness ya hali ya juu,,wanapiga mashuti, wako vizuri sana kiufundi,Wana Kasi sintoshangaa wakifuzu robo fainali licha ya uchanga wao,,
Wataokota alama zote 9 nyumbani kwao sioni kama Simba ataambulia chochote akiwafata kwa uchezaji wao huu,,mpaka sasa wamempiga presha costsntine na kumtandika goli 2 za fasta fasta na uyo ndiye anayeonekana ana kaubora kwenye kundi.
Vipi hao waarabu Wakija kwa mkapa Simba atapata point kwao? Kama sfaxien tu imewatoa kamasi vipi Hawa Constantine? Yetu macho!
Unateseka ukiwa wapiii? Jangwani au Avic?Mazumbukuku wakubwa ni wale wanaocheza kikombe cha kahawa na bado ushindi wao uwanja wa nyumbani mpaka utegemee hekima za mwamuzi,,mnakosea sana mnapolinganisha michuano miwili tofauti na yenye ubora tofauti!
Ni aibu kubwa na kulidharilisha dimba la mkapa Kwa vipigo Bora hata Timu isifuzu kuliko kupewa kichapo Kwa mkapaIle ni michuano ya wanaume ata aliyepo mwisho ni sawa na anayeongoza kundi kwenye kikombe chenu cha kahawa ivyo ni Bora MKAE kimya!