Tatizo sembe Kaka.Tatizo nini....???
Kupanuka kwao kulitokana na " Kinondoni manyanya flour " alilobeba inside " ze stomach " na likauzika japo lilimdedisha mwenyewe baada ya kutamani chai kisha moja wapo ( mwananyamala / kete ) ikampasukia na Watu wakapiga Hela yao ya nguvu na sasa wanajitanua tu kwa Waandaaji wa World Cup 2022 huku wakisajili Watu japo wa zamani na kuwapa " Mkojozi " New Model Discovery na " Ki rat " Mshahara mnono. Mkuu naomba niishie hapa tafadhali! R.I.P Albert Ngwea.
Dah! Nimepata shida kuelewa hii lugha ya kitaa iliyotumika....sijui umri.
Nitafsirie pls
Leo majira ya 13:50 kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm.mtangazaji B12 ametangaza kwamba kesho kutakuwa na special day for the late Albert Mangwea.
Kilichonishangaza ni je kwa nini wasanii wengine waliofariki huwa hawapewi siku ya kumbukumbu isipokuwa Mangwea tu??
Mbona hii redio ina ubaguzi sana? Huyo Ngwea haiwezekani aonekane ni legend saaaana, wakati hata Langa, John mjema, Mr Ebo,James Dandhu,,Mez b,n.k ni malegend kuliko Ngwea na hatuwawekei kumbukumbu??
Hii redio ni ya ajabu kupitiliza, wana unazi sana
ulitakaje?Leo majira ya 13:50 kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm.mtangazaji B12 ametangaza kwamba kesho kutakuwa na special day for the late Albert Mangwea.
Kilichonishangaza ni je kwa nini wasanii wengine waliofariki huwa hawapewi siku ya kumbukumbu isipokuwa Mangwea tu??
Mbona hii redio ina ubaguzi sana? Huyo Ngwea haiwezekani aonekane ni legend saaaana, wakati hata Langa, John mjema, Mr Ebo,James Dandhu,,Mez b,n.k ni malegend kuliko Ngwea na hatuwawekei kumbukumbu??
Hii redio ni ya ajabu kupitiliza, wana unazi sana
๐๐๐๐๐๐๐๐Simple, fungua kituo chako cha radio uwakumbuke wote wanaobaguliwa Clouds.
Kama najaribu kukuelewa ivi..!Clouds walifanya coverage ya msiba wa Ngwair toka mwili ukiwa South, ukaja Dar, ukapelekwa Morogoro na ukazikwa. Huku kote Clouds walikuwapo.
Nadhani hili ndo lingekushangaza kwanza kabla la hili la kumbukumbu.
BTW, Ngwair alikufa akiwa kazini ndo maana bosi wake anaendelea kumkumbuka.
Usiniulize ni kazi gani.
hapo sasa ndo nimeelewa, duh inatisha japo ndo ishatokeaKupanuka kwao kulitokana na " Kinondoni manyanya flour " alilobeba inside " ze stomach " na likauzika japo lilimdedisha mwenyewe baada ya kutamani chai kisha moja wapo ( mwananyamala / kete ) ikampasukia na Watu wakapiga Hela yao ya nguvu na sasa wanajitanua tu kwa Waandaaji wa World Cup 2022 huku wakisajili Watu japo wa zamani na kuwapa " Mkojozi " New Model Discovery na " Ki rat " Mshahara mnono. Mkuu naomba niishie hapa tafadhali! R.I.P Albert Ngwea.