Hawa Clouds Fm ni wa ajabu sana jamani

Hawa Clouds Fm ni wa ajabu sana jamani

dah, leo ndo nimefahamu ilikuaje mpka ngwea akafariki.
 
Watu mnampiga majungu hadi marehemu . Brother Albert Man Air MAY GOD REST YOUR SOUL IN EVERLASTING PEACE.
 
Kupanuka kwao kulitokana na " Kinondoni manyanya flour " alilobeba inside " ze stomach " na likauzika japo lilimdedisha mwenyewe baada ya kutamani chai kisha moja wapo ( mwananyamala / kete ) ikampasukia na Watu wakapiga Hela yao ya nguvu na sasa wanajitanua tu kwa Waandaaji wa World Cup 2022 huku wakisajili Watu japo wa zamani na kuwapa " Mkojozi " New Model Discovery na " Ki rat " Mshahara mnono. Mkuu naomba niishie hapa tafadhali! R.I.P Albert Ngwea.

Dah! Nimepata shida kuelewa hii lugha ya kitaa iliyotumika....sijui umri.
Nitafsirie pls
 
Hao wote uliowataja huwezi kuwalinganisha na Marehemu Ngwea....
 
Dah! Nimepata shida kuelewa hii lugha ya kitaa iliyotumika....sijui umri.
Nitafsirie pls

Nia yangu pia waelewe tu wenye kujua KUFUMBUA MAFUMBO yangu YALIYOTUKUKA na wengine msiojua KUJIONGEZA mmbaki hivyo hivyo. Kama Wewe ni Mtoto wa mjini hutoshindwa kuelewa nilichokiandika hapo ila kama ndiyo kwanza umetokea KYAKA NKUNDE village au IKUPILIPA NKOBA village utapata shida mno na aina yangu ya Kiuandishi ambayo imejaa FASIHI na FALSAFA tupu!
 
Tatizo lako ni kuisikiliza hiyo radio kama wana unazi...usingeisikiliza ungesikia wapi hiyo habari....!!!
 
kwa ulio wataja hapo, ɓila ya kupepesa macho ni yupi maarufu na anajulikana zaiɗi ya ngwea, hata kama clouɗs wanafanya madudu lkn kwa hili sina imani na wewe
 
Leo majira ya 13:50 kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm.mtangazaji B12 ametangaza kwamba kesho kutakuwa na special day for the late Albert Mangwea.

Kilichonishangaza ni je kwa nini wasanii wengine waliofariki huwa hawapewi siku ya kumbukumbu isipokuwa Mangwea tu??

Mbona hii redio ina ubaguzi sana? Huyo Ngwea haiwezekani aonekane ni legend saaaana, wakati hata Langa, John mjema, Mr Ebo,James Dandhu,,Mez b,n.k ni malegend kuliko Ngwea na hatuwawekei kumbukumbu??

Hii redio ni ya ajabu kupitiliza, wana unazi sana

Mkuu, hapo kwenye red acha utani! Yaani hao uliowataja na malejendari kuliko Ngwea??
 
Leo majira ya 13:50 kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm.mtangazaji B12 ametangaza kwamba kesho kutakuwa na special day for the late Albert Mangwea.

Kilichonishangaza ni je kwa nini wasanii wengine waliofariki huwa hawapewi siku ya kumbukumbu isipokuwa Mangwea tu??

Mbona hii redio ina ubaguzi sana? Huyo Ngwea haiwezekani aonekane ni legend saaaana, wakati hata Langa, John mjema, Mr Ebo,James Dandhu,,Mez b,n.k ni malegend kuliko Ngwea na hatuwawekei kumbukumbu??

Hii redio ni ya ajabu kupitiliza, wana unazi sana
ulitakaje?
 
"Pengo langu halina spea coz mi ndo mimi na hatuwezi kuwa pair, so nageuka Mc Regan nawaambiaa Endeleeeaaaa'' R.I.P Albert.
 
Clouds walifanya coverage ya msiba wa Ngwair toka mwili ukiwa South, ukaja Dar, ukapelekwa Morogoro na ukazikwa. Huku kote Clouds walikuwapo.

Nadhani hili ndo lingekushangaza kwanza kabla la hili la kumbukumbu.

BTW, Ngwair alikufa akiwa kazini ndo maana bosi wake anaendelea kumkumbuka.

Usiniulize ni kazi gani.
Kama najaribu kukuelewa ivi..!
 
Kupanuka kwao kulitokana na " Kinondoni manyanya flour " alilobeba inside " ze stomach " na likauzika japo lilimdedisha mwenyewe baada ya kutamani chai kisha moja wapo ( mwananyamala / kete ) ikampasukia na Watu wakapiga Hela yao ya nguvu na sasa wanajitanua tu kwa Waandaaji wa World Cup 2022 huku wakisajili Watu japo wa zamani na kuwapa " Mkojozi " New Model Discovery na " Ki rat " Mshahara mnono. Mkuu naomba niishie hapa tafadhali! R.I.P Albert Ngwea.
hapo sasa ndo nimeelewa, duh inatisha japo ndo ishatokea
 
Back
Top Bottom