Hawa Clouds FM wanasema wapo online lakini mbona hamna kitu?

Hawa Clouds FM wanasema wapo online lakini mbona hamna kitu?

HansMaja

Senior Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
104
Reaction score
124
Clouds FM wanatuambia tunaweza kuwapata kwenye mtandao wa Internet lakini ukifungua huko mbona hawapatikani?
 
Wajaribu kupitia teen tz, ka google...
 
clouds wakisema wako online ujue wanamaanisha wako kwenye foleni barabarani
 
Back
Top Bottom