Hawa dreamwork pictures ni hatari sana

Hawa dreamwork pictures ni hatari sana

Mzee haw ndo top carton zao ninzuri kinom penguins of madagascar mle king julien ndo mwisho nachekag saan afu kuna moana,how to train your dragon
 
Early man, Kubo and the two strings, nazo kiasi zina story nzuri.
 
Mzee haw ndo top carton zao ninzuri kinom penguins of madagascar mle king julien ndo mwisho nachekag saan afu kuna moana,how to train your dragon
Moana nimeicheki jana usiku iko bomba kweli nimeipenda. Sasa hivi nimemaliza kuangalia Nut Job 2. Nuts by nature
 
Kuna Penguine of Madagascar ukutane na Baron Cohen kakuwekea sauti ya King Julián.
Penguin of madagascar love it, my favourite...
Cc: mahondaw
Mi nawakubali sana wale penguins ni hatari na wako na series yao wenyewe King Julian ndani ya nyumba.
 
Pixar animations wanajitahidi pia sema hawatoi movies mara kwa mara. Filamu kama A Bug's Life (1998) ni kati ya movie nzuri walizowahi kutengeneza.
Yes, nyingine ni Finding Nemo, Finding Dori, Cars na Toy Story
 
Hii muvi ina nyimbo tamu sana hasa huu na Where you are moana
Screenshot_2019-09-15-18-45-55.jpeg
 
Nimeicheki now Home na Moana (Repeated )
 
Advecture of Tintin
The Brave
Hizo nikali sanaaa utanipa mrejesho
Kibongo bongo ushindani kwenye tasnia ya Muziki kuna D na Harmonize (Alikiba thrown away) Kwenye tasnia ya Vyombo vya habari kuna Wasafi Media na Clouds media.

Ila huko Dunia kwenye tasnia ya Ya filamu (Hollywood ) Ushindani mkubwa upo kwa Marvels Cinematic Universe (MCU) na DCU. Ila kwa upande wa Animation huko kuna Disney Animation studios ikichuana na watengenezaji wengine kama Pixal Animation,Dreamwork Pictures etc...

Upande wangu mimi nawakubali zaidi Dreamwork Pictures kuliko Disney coz naona Animation zao zina content za kitoto.
Baadhi ya animation za disney ni kama Moana,Frozen,Ralph Break internet, Zootopia,Lion king, Cinderela etc etc (Wameanza kutengeneza Anime movies toka miaka 1940s)

Kama umeangalia baadhi ya anime za Dreamwork utakubaliana nami kua hawa jamaa wako vizuri,kuanzia stori,mpaka mwonekano.
Mfano ukiangalia Puss in Boots yaani utaipenda Antonio "BadAss" Banderas alivaa uhusika vizuri sana na kuipendezesha...Yaani haichoshi kutizama hafu inachekesha hatari.

Au uangalie Boss Baby hii lazima uipende ukiona vituko vya Boss mtoto aliyetumwa kutoka mbinguni..Kuna Penguine of Madagascar ukutane na Baron Cohen kakuwekea sauti ya King Julián.

Baadhi ya muvi zao bira ni kama
  • Shrek zote
  • Penguine of Madagascar
  • Boss baby
  • The Croods (may 5 mwaka kesho kuna mwendelezo )
  • How to Train Your Dragon zote 3
  • Kung fu Panda zote
  • Chiken Run
  • Nk nk
Ila hakuna Animation niliyeona nikacheka sana kama Rango.. yani John Depp kaipatia sana kucheza. Hasa ukiangalia zile scene za jangwani na Bar. Yaani kanachekesha haka kinyonga. Mwenye Animation nzuri aniambie nizicheki Muvi zimenichosha!
 
Back
Top Bottom