Hawa First year mnaowapokea Kwa utaratibu maalumu wametokea mtaani huko.

Hawa First year mnaowapokea Kwa utaratibu maalumu wametokea mtaani huko.

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Vyuo vyote Kwa sasa wameandaliwa watu maalumu Kwa ajili ya kuwaookea wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza,katika kupokelewa kwao wanaambiwa wasifuate mkumbo,wasiandamane,haya kama hawana ada wanamsajiri WA TU, diabolical.

Polisi wanapewa muda wa kuongea na wanagunzi wakiwaChimba mkwara VIjana Hawa,swali la kujiuliza hivi maandamano yalitokea vyuoni?,Hawa watoto hawakuwepo mtaani,?hawakuona,hawaobi yanayoendelea.?

Hawa VIjana walihitimu mwezi mei na Sasa ni November,wanafahamu na walifuatilia Kwa umakini yote yaliyojiri na yanayojiri,huwezi kuwatisha Kupitia mikwara ya POLISI labda kama wametokea kagera ndani huko.

Jiandaeni kidaikolojia ,punguzeni upumbavu.
 
Ndugu una hasira mpaka unakosea kuandika, kiufupi tu hali siyo shwari kinawaka popote hata wasipotarajia, wakae kwa kutulia
 
Back
Top Bottom