Hawa Form 4 & Form 6 wanaopata ajira TRA huwa wanaajiriwa sekta ipi?

Hawa Form 4 & Form 6 wanaopata ajira TRA huwa wanaajiriwa sekta ipi?

Pain 01

Member
Joined
Jan 16, 2022
Posts
64
Reaction score
62
Wakuu habari za kazi.

Ladies and gents,

Naombeni kuulizaa na majibu yawe yakuridhisha wakuu tafadhalini.

Hawa form 4 & form 6 wanaopata ajira tra huwa wanaaniriwa secta ipi wakuu na pia mshahara wa vijana hawa huwa ina range namna ipi?

Mawazo yako yatafungua wengine wakuu karibuni.
 
Wakuu habari za kazi.

Ladies & Gents,

Naombeni kuulizaa na majibu yawe yakuridhisha wakuu tafadhalini.

Hawa form 4 & form 6 wanaopata ajira tra huwa wanaaniriwa secta ipi wakuu na pia mshahara wa vijana hawa huwa ina range namna ipi?

Mawazo yako yatafungua wengine wakuu karibuni....
Hamnaga watu kama hao TRA, Acha kudharilisha ofisi yetu,,
 
Msamehe kijana hafaham,ndo anauliza anataka arambe na yeye asali 😁
Amn mkuu , m nauliza tu kk cdhani kma mfagiaji mule ni degree holder. Cidhani wanaocollect ushuru kma ni degree holder nknk, nmereason vitu vngi kbla sjaandika pia nafaham nnchoandika.
Hivyo nauliza kutoka kwa watu wanaofaham ,
Iweje mtu hajui atulie, shida ya jf wapumbavu wengi....
ukiona kitu kimeandikwa kina views zaid ya 100+ comment chache jiulize kbla hujajib shit...ucdhan kila alieview alishindwa kurusha jibu
 
Hivi kwa akili Yako unazani TRA Kuna vitoto vya form four ety? Yani umalize shule Bado unanuka mikojo uje ofisin ety,, hii siyo Sacco's
Yaishe mkuu, dunia ina wakubwa jinga kma mimi tusamehe hatuna akili. "Kwa akili yako" io akili unayoizingumzia sina mkuu.
 
Amn mkuu , m nauliza tu kk cdhani kma mfagiaji mule ni degree holder. Cidhani wanaocollect ushuru kma ni degree holder nknk, nmereason vitu vngi kbla sjaandika pia nafaham nnchoandika.
Hivyo nauliza kutoka kwa watu wanaofaham ,
Iweje mtu hajui atulie, shida ya jf wapumbavu wengi....
ukiona kitu kimeandikwa kina views zaid ya 100+ comment chache jiulize kbla hujajib shit...ucdhan kila alieview alishindwa kurusha jibu
Nakuelewa Ila wale wanaofanya usafi ni kampuni zimepewa tenda hiyo so taratibu na vigezo wanavijua wao sio TRA,Zen ukija kwenye swala la kukusanya ushuru TRA Ina system yao(electronic) yakukusanya mapato na kufatilia watu hawaajiri watu ni ma officers walioajiliwa na TRA professionals,Mambo ya kukusanya pesa yapo huko manispaa ambao vigezo vinaweza kuwa form six na kuendelea
 
Hivi kwa akili Yako unazani TRA Kuna vitoto vya form four ety? Yani umalize shule Bado unanuka mikojo uje ofisin ety,, hii siyo Sacco's
Ety....
Unazani...
TRA ni ofisi!!?
Wewe haupo TRA bana😂😂😂
 
TRA Truck drivers most of them ni form four hivyo usikatishwe tamaa na wasiojua chochote.

Nlikua natafuta comment hii maana mtoa mada anashambuliwa kama kaongea jambo la ajabu sana madereva almost wote ni form four shida watu wanajua kuwa wafanyakazi wote wa tra ni wakusanya kodi wanasahau kuna supportive staff wanaowezesha ofc zirun smooth
 
HS code na 90%huyu ni mfanyakazi wa tra au anaelimu ya masuala kodi (mzee wa harmonized system) tupeane michongo mkuu
 
Wapo ukitaka kufahamu anza na walioitwa usaili juzi

1. Madereva
• Form IV au VI na Basic Driving plus Leseni

2. Wahudumu au Office Assistant au wasaidizi wa ofisi
• Form IV au VI bila cheti kingine cha ziada ila huwa wana weza weka Kiswahili na Kingereza au Kingereza na Hisabati uwe umefaulu

Kila la kheri ktk utafutaji...!
 
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom