Pain 01
Member
- Jan 16, 2022
- 64
- 62
- Thread starter
- #21
Dah kweli manNlikua natafuta comment hii maana mtoa mada anashambuliwa kama kaongea jambo la ajabu sana madereva almost wote ni form four shida watu wanajua kuwa wafanyakazi wote wa tra ni wakusanya kodi wanasahau kuna supportive staff wanaowezesha ofc zirun smooth