Hamnaga watu kama hao TRA, Acha kudharilisha ofisi yetu,,Wakuu habari za kazi.
Ladies & Gents,
Naombeni kuulizaa na majibu yawe yakuridhisha wakuu tafadhalini.
Hawa form 4 & form 6 wanaopata ajira tra huwa wanaaniriwa secta ipi wakuu na pia mshahara wa vijana hawa huwa ina range namna ipi?
Mawazo yako yatafungua wengine wakuu karibuni....
Msamehe kijana hafaham,ndo anauliza anataka arambe na yeye asali 😁Hamnaga watu kama hao TRA, Acha kudharilisha ofisi yetu,,
Hivi kwa akili Yako unazani TRA Kuna vitoto vya form four ety? Yani umalize shule Bado unanuka mikojo uje ofisin ety,, hii siyo Sacco'sKichwa maji. Matumizi mabovu ya muda, kjina wa tra kuwa jamii forum kutoa jibu kma hili ni anajithibitisha upuuzi alojaza kichwani.
Amn mkuu , m nauliza tu kk cdhani kma mfagiaji mule ni degree holder. Cidhani wanaocollect ushuru kma ni degree holder nknk, nmereason vitu vngi kbla sjaandika pia nafaham nnchoandika.Msamehe kijana hafaham,ndo anauliza anataka arambe na yeye asali 😁
Yaishe mkuu, dunia ina wakubwa jinga kma mimi tusamehe hatuna akili. "Kwa akili yako" io akili unayoizingumzia sina mkuu.Hivi kwa akili Yako unazani TRA Kuna vitoto vya form four ety? Yani umalize shule Bado unanuka mikojo uje ofisin ety,, hii siyo Sacco's
Nakuelewa Ila wale wanaofanya usafi ni kampuni zimepewa tenda hiyo so taratibu na vigezo wanavijua wao sio TRA,Zen ukija kwenye swala la kukusanya ushuru TRA Ina system yao(electronic) yakukusanya mapato na kufatilia watu hawaajiri watu ni ma officers walioajiliwa na TRA professionals,Mambo ya kukusanya pesa yapo huko manispaa ambao vigezo vinaweza kuwa form six na kuendeleaAmn mkuu , m nauliza tu kk cdhani kma mfagiaji mule ni degree holder. Cidhani wanaocollect ushuru kma ni degree holder nknk, nmereason vitu vngi kbla sjaandika pia nafaham nnchoandika.
Hivyo nauliza kutoka kwa watu wanaofaham ,
Iweje mtu hajui atulie, shida ya jf wapumbavu wengi....
ukiona kitu kimeandikwa kina views zaid ya 100+ comment chache jiulize kbla hujajib shit...ucdhan kila alieview alishindwa kurusha jibu
Ety....Hivi kwa akili Yako unazani TRA Kuna vitoto vya form four ety? Yani umalize shule Bado unanuka mikojo uje ofisin ety,, hii siyo Sacco's
TRA Truck drivers most of them ni form four hivyo usikatishwe tamaa na wasiojua chochote.
Shukran mkuuWapo ukitaka kufahamu anza na walioitwa usaili juzi
1. Madereva
• Form IV au VI na Basic Driving plus Leseni
2. Wahudumu au Office Assistant au wasaidizi wa ofisi
• Form IV au VI bila cheti kingine cha ziada ila huwa wana weza weka Kiswahili na Kingereza au Kingereza na Hisabati uwe umefaulu
Kila la kheri ktk utafutaji...!