Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GD imebeba siri nyingi nahisi leo siri moja itatoka.NAzigwaya...hahhaha....
GD imebeba siri nyingi nahisi leo siri moja itatoka.
Leti azi du bata sisitimu.[emoji23][emoji23][emoji23]subutuuuu...
Genta nipo nae hapa
anamalizia kuchomwa sindano
JOANAH seems to be humble and very wise honestly speaking i like the way she responds to different threads...
When it comes to WARUMI nampenda sana but naogopa nisiingie kwenye kumi na nane zake asijeninyeshea mvua ya lugha kali..
GENTAMYCINE yuko very positive and maverick as well...
ZERO IQ na WA STEND hawa ni comedians hatari sana..,😂😂😂
Ladies and Gentlemen salaam!
JF ni jukwaa linalotuunganisha watu mbali mbali ambao kimsingi kila mmoja ana sifa zake za kipekee katika uchangiaji, mwonekano wa kitaswira na pia katika uwasilishaji wa hoja binafsi. Sasa leo baada ya kufanya utafiti mdogo nimeona nikudondoshee member hawa wa JF na sifa zao za kipekee "peculiar characters"
MSHANA JR
Ni mtaalamu wa masuala ya imani za ulimwengu wa pili na post zote zinazohusiana na imani hizo za uchawi na ushirikina basi ni rahisi sana kuona member huyu akitajwa kwa lengo la kutoa elimu ama ufafanuzi wa jambo hilo. Mbali na ubobezi huo pia ni mchambuzi mzuri wa masuala mbali mbali ya kisiasa na kijamii ya kitaifa na kimataifa.
JOANAH
Huyu anaonekana kuvutiwa na wengi hasa wakiume hali inayopelekea wamwanzishie nyuzi za kueleza hisia zao kwake. Hii inaonyesha huyu ni binti mrembo asiyependa makuu na pia ni mchangiaji mzuri katika jukwaa hili la JF.
GENTAMYCINE
Huyu anaonekana kuwa na karama ya kuja kuwa mchambuzi mzuri kwa siku za usoni japo kwa sasa hoja zake zinakuwa kama hazieleweki na anatumia nguvu kubwa kuaminisha umma kwamba yeye ni genius wakati sifa hiyo hana. Kwa kifupi ni mtu fulani mwenye kupenda kujivuna hata kwenye vitu ambavyo anapungukiwa.
WARUMI
Ni mdadabuzi na mfukunyuzi wa habari na masuala ya udaku yanayohusu watu maarufu "celebrities". Kwa kifupi ni mtaalumu wa masuala ya udaku.
ZERO IQ
Ni mtu asiyependa makuu na mara kadhaa hoja zake zinasadifu jina lake japo ukizisoma utaishia kutabasamu kama siyo kufurahi. Kwa kifupi jamaa ni comedian mzuri kwenye jukwaa.
VIATU VYA SAMAKI
Huyu ni mbishi wa kusimamia anachokiamini akianzisha jambo mpaka alimalize. Kwa kifupi ni mtu mwenye msimamo
FAIZA FOXY
Ana uwezo wa kufikiri na kuandika lakini ni mtu fulani wa kupenda kukosoa sana na kuwakejeli wengine kwa kudai walienda shuleni kusomea ujinga. Kwa kifupi ni mtu wa kupenda kujivuna na kuwachukulia wengine katika nyanja ya ujinga.
MK54
Huyu ni mpambanaji"fighter" ana juhudi ya kutafuta habari kisha kuidadavua kwa kina kwa lengo la kutoa elimu kwa wengine. Mbali na hilo ni mbobezi na mchambuzi mzuri wa masuala mbali mbali katika nyanja zote za kiuchumi, kijamii, kisiasa n.k kitaifa na kimataifa. Kwa kifupi huyu ni mpambanaji
SKY ECLAT
Ni mpole na pia ni mchangiaji mzuri katika jukwaa hili la JF.
Orodha nyingine itafuata siku zijazo. Mwenye pingamizi, maoni tofauti au nyongeza anakaribishwa.
Ilikuwaje mrembo ukakaa gizani peke yako ?hahahhaha yaan nimecheka kwa ngv..thanks God niko kwa giza alone
Ilikuwaje mrembo ukakaa gizani peke yako ?
Aina gani hiyo ?Nilikua [emoji485]
Aina gani hiyo ?
hayo ndo maneno..iwe lini mkuu...maana kiu ishakuja hapa😊😊Nitafute siku tusafishe koo
Bills on me
Uzi huu bila kumtaja GuDume, Pascal Mayalla, Miss Natafuta, FaizaFoxy, Nazjaz, hearly, Mwifwa na W. J. Malecela a.k.a lemutuz Uzi unakuwa hauna mashikoLadies and Gentlemen salaam!