GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
.Hello, are you there? Can you repeat your comment[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Hello, are you there? Can you repeat your comment[emoji23][emoji23][emoji23]
Jana Rais Magufuli alihutubia kongomano la walimu waliosongamana na kupumuliana full mijasho bila tahadhari yoyote kama wanavyoonekana kwenye hii picha, hamna cha barakoa au kuzingatia umbali wa kila mmoja, hawa hapa ndio utategemea wawe na kauelewa kiaina kuhusu sayansi na masuala ya kirusi, lakini wenyewe ndio wamedhihirisha weupe "kumkichwani" sembuse makajamba wa Tandale ambao hukesha wakijibizana humu JF na kutetea kila ujinga.
Nahisi Tanzania imefanya tathmini na kuona kwamba kwa vile wamezaliana sana (milioni sitini) hivyo hata wakiachia wafe, kirusi hakitakua na uwezo wa kulamba asilimia kubwa kwao, maana hata Marekani wanaopukutika maelfu kwa siku bado namba zinachezea kwenye laki moja, hivyo ukiwatia rehani elfu kadhaa za raia ili kunusuru uchumi haitakua balaa sana.
View attachment 1469972
Kwa hiyo unataka Nini?! Wewe ni nyang'au wa Kenya Mambo ya TZ yanakuuusu vipi?!Jana Rais Magufuli alihutubia kongomano la walimu waliosongamana na kupumuliana full mijasho bila tahadhari yoyote kama wanavyoonekana kwenye hii picha, hamna cha barakoa au kuzingatia umbali wa kila mmoja, hawa hapa ndio utategemea wawe na kauelewa kiaina kuhusu sayansi na masuala ya kirusi, lakini wenyewe ndio wamedhihirisha weupe "kumkichwani" sembuse makajamba wa Tandale ambao hukesha wakijibizana humu JF na kutetea kila ujinga.
Nahisi Tanzania imefanya tathmini na kuona kwamba kwa vile wamezaliana sana (milioni sitini) hivyo hata wakiachia wafe, kirusi hakitakua na uwezo wa kulamba asilimia kubwa kwao, maana hata Marekani wanaopukutika maelfu kwa siku bado namba zinachezea kwenye laki moja, hivyo ukiwatia rehani elfu kadhaa za raia ili kunusuru uchumi haitakua balaa sana.
View attachment 1469972
Inabidi iendelee na lockdown kwa siku 30Jana Rais Magufuli alihutubia kongomano la walimu waliosongamana na kupumuliana full mijasho bila tahadhari yoyote kama wanavyoonekana kwenye hii picha, hamna cha barakoa au kuzingatia umbali wa kila mmoja, hawa hapa ndio utategemea wawe na kauelewa kiaina kuhusu sayansi na masuala ya kirusi, lakini wenyewe ndio wamedhihirisha weupe "kumkichwani" sembuse makajamba wa Tandale ambao hukesha wakijibizana humu JF na kutetea kila ujinga.
Nahisi Tanzania imefanya tathmini na kuona kwamba kwa vile wamezaliana sana (milioni sitini) hivyo hata wakiachia wafe, kirusi hakitakua na uwezo wa kulamba asilimia kubwa kwao, maana hata Marekani wanaopukutika maelfu kwa siku bado namba zinachezea kwenye laki moja, hivyo ukiwatia rehani elfu kadhaa za raia ili kunusuru uchumi haitakua balaa sana.
View attachment 1469972
Sukari tu elfu nne[emoji1787][emoji1787]Hahaha! A half of salary in Kenya is spent on food, hiyo ya TZ inawatosha coz gharama ya maisha iko chini TZ.
Huyo mzungu Koko anaamini dawa za mabeberu ndizo pekee zinazofaa. Anasubiri hisani kutoka London.Nikuambie tena wewe panyabuku brainwashed, hakuna dawa nzuri kama Kufukiza na kinywa mchanganyiko wa lemon, ginger, garlic, pepper na onion ambao kwa uhakika mkubwa unaimarisha kinga za mwili na kuongeza zinc mwilini, Zinc kazi yake ni kuzuia kujizalisha kwa kirusi wakati vitamin C inaongeza kinga.
Hapo Corona haiwezi kufua dafu na utaona watanzania wakidunda kama kawa
Curfew mpaka september! Zee lenu limekula pesa za WHO lazima liwatoe damu manyang'au.Aisee ila leo kenyatatta atufungulie ze curfew mazee tukajimwaye mwaye mijinii!
Walianzia mbali unajua
Sukari tu elfu nne[emoji1787][emoji1787]
Mtikisa Nazi katikisa kichwa chake,Hawa hutia aibu sana, tatizo wavivu kupita maelezo.
Na ushirikina pia, rais wao hupenda kutaja taja mambo yao ya kishirikina, japo kiutani utani, kwa mfano hupenda sana kuwahusisha wagogo na mambo yao ya kucheza na fisi usiku.
Ili muwe Kama sisi?Mswahili mambo yake ni dezo dezo siku zoteee.. tusishangae sana huu ukurupukajii😂 Aisee ila leo kenyatatta atufungulie ze curfew mazee tukajimwaye mwaye mijinii!
Tuko njema Sana... Bila curfewHawa hutia aibu sana, tatizo wavivu kupita maelezo.
Na ushirikina pia, rais wao hupenda kutaja taja mambo yao ya kishirikina, japo kiutani utani, kwa mfano hupenda sana kuwahusisha wagogo na mambo yao ya kucheza na fisi usiku.
Tupo campaign mode Mkuu uchaguzi ni Oktoba. Walimu Hawa watapewa posho Kama njia ya kuwashawishi "Magu Tano Tena". Hizi ni siasa za kawaida sana Afrika.Jana Rais Magufuli alihutubia kongomano la walimu waliosongamana na kupumuliana full mijasho bila tahadhari yoyote kama wanavyoonekana kwenye hii picha, hamna cha barakoa au kuzingatia umbali wa kila mmoja, hawa hapa ndio utategemea wawe na kauelewa kiaina kuhusu sayansi na masuala ya kirusi, lakini wenyewe ndio wamedhihirisha weupe "kumkichwani" sembuse makajamba wa Tandale ambao hukesha wakijibizana humu JF na kutetea kila ujinga.
Nahisi Tanzania imefanya tathmini na kuona kwamba kwa vile wamezaliana sana (milioni sitini) hivyo hata wakiachia wafe, kirusi hakitakua na uwezo wa kulamba asilimia kubwa kwao, maana hata Marekani wanaopukutika maelfu kwa siku bado namba zinachezea kwenye laki moja, hivyo ukiwatia rehani elfu kadhaa za raia ili kunusuru uchumi haitakua balaa sana.
View attachment 1469972
Leta takwimu bone head stop talking from your arse.Wacha kelele wewe, weka hapa mishahara ya walimu wa Kenya tulinganishe na Tanzania kama kuna tofauti yoyote, waalimu wa Kenya wanamaisha magumu sana ukilinganisha na Tanzania, zaidi ya 50% ya mshahara wenu unaishia katika chakula. Wacha kulinganisha maisha ya waalimu wa Tanzania ni huko Kenya.
Ww sie sio kama nyie ma nyumbu hatuna corona nyie si mmegeuza ugonjwa kama diliJana Rais Magufuli alihutubia kongomano la walimu waliosongamana na kupumuliana full mijasho bila tahadhari yoyote kama wanavyoonekana kwenye hii picha, hamna cha barakoa au kuzingatia umbali wa kila mmoja, hawa hapa ndio utategemea wawe na kauelewa kiaina kuhusu sayansi na masuala ya kirusi, lakini wenyewe ndio wamedhihirisha weupe "kumkichwani" sembuse makajamba wa Tandale ambao hukesha wakijibizana humu JF na kutetea kila ujinga.
Nahisi Tanzania imefanya tathmini na kuona kwamba kwa vile wamezaliana sana (milioni sitini) hivyo hata wakiachia wafe, kirusi hakitakua na uwezo wa kulamba asilimia kubwa kwao, maana hata Marekani wanaopukutika maelfu kwa siku bado namba zinachezea kwenye laki moja, hivyo ukiwatia rehani elfu kadhaa za raia ili kunusuru uchumi haitakua balaa sana.
View attachment 1469972
Corona pia ni yao wanasema!Walianzia mbali unajua
Kilimanjaro ni mlima wetu, kiswahili pia nayo ni lugha yetu, samata wa aston vila naye ni mkenya ko naye ni wetu vile vile. Wakati huo siye tumechuna tunawasikiliza tu
Haya sasa njaa imeingia, na njaa pia nayo mlitakiwa kusema ni yenu, mbona hamji brand wazee wa kucheza na media kama kawaida yenu?