Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

Kumeanza kuchamgamka.
KAZI ni kipimo cha utu
 
NONSENSE!
 
Kama ulichoandika kina ukweli ndani yake, basi mashaka ya watu hao makini yanajidhihirisha kwa uwazi kabisa kwa sasa.

Muda ukizidi kwenda pengine tutapata ukweli juu ya chanzo cha kifo cha JPM. Natambua taarifa hiyo itawafanya chawa wote wa nyuti kwa aibu na fedheha kubwa.

Mwezi huu wa saba na wa nane ni wa vita vya kiroho na pamoja na ya kimwili, ili Tanganyika ikombolewe kutoka kwa mkoloni mweusi.

Kituo kinachofuata ni.....
 
Wambie mamako afuate katiba, taratibu, utamaduni na miongozo ya chama, CCM siyo genge la wahuni.
 
Sasa ivi yeye ndio amesahau katika anatakiwa kukumbushwa
 
Wambie mamako afuate katiba, taratibu, utamaduni na miongozo ya chama, CCM siyo genge la wahuni.
Rais Wetu Mpendwa ni kiongozi wa mfano katika kufuata na kuzingatia masuala ya katiba ndani ya serikali pamoja na chama.
 
Uliahidi kuwataja hao watu; mbona hujataja hata mmoja badala yake umeandika bandiko refu lililojaa porojo tu? Umekuwa kama nyumbu tu na wewe!
Btw, hujabubujikwa na machozi wakati unaandika? 🤣
 
Mwisho wa matatizo ni kutenda haki

You do not need a lot of energy to sit on your pants to write something to favor self absorbed group for your personal gains
 
Uchawa ukivuka mipaka utakuwa ni uhaini sifa zisikuzidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…