Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kuelewa kwa Kenge ni mpaka apigike damu zitoke masikioni. Mitanzania mingi ni mivivu ya kufikiri inapenda short cut na pia haijielewi. Toka zamani ilikuwepo DECI ikawagonga ,ikaja Kalyinda ikawatoa malinda, Qnet wazee wa all mornings.
Wamekuja wahuni wengine hawa hapa. Muda si muda watu watakuja huku wanalia. Kama Forex ilivyo waliza. Watanzania ni fursa.
Wamekuja wahuni wengine hawa hapa. Muda si muda watu watakuja huku wanalia. Kama Forex ilivyo waliza. Watanzania ni fursa.