Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mwezi mmoja na nusu ago, tulikuwa na speed nzuri mtu unashusha ma series na movies kibao tu kwa siku. Mimi ilikuwa inanimotisha nachapa kazi sana na sioni shida kutoka usiku saa 2 au 3 bila hata kujaza overtime.
Lakini ghafla kwa sasa mtandao umekuwa wa kawaida sana mwezi wa 3 huu ....yaani unaweza browse vizuri tu lakini kwenye upande wa kudownload inakuwa kimbembe imenifanya sasa ukifika muda tu wa kutoka kazini sijiulizi mara mbilimbili na dandia kimeo changu nachapa mwendo.
Sasa wanaanza kulalamika humu ofisini kuwa nawaacha kwenye mataa hawapati muda wa ku enjoy life na mimi je namwahi nani nyumbani n.k. sijawaambia nini kimenifanya nikatishwe tamaa na kushushwa morali katika kazi kwa kuwa sitaki kumwaga kuku kwenye mpunga wengi.
Najiuliza je hawa watu wa net solution kuna mchezo wanafanya au ni nini? Maana hii sasa ishakuwa nongwa. mbona tulikuwa tunapata speed nzuri tu? Nini kimetokea? Si sawa wajui mtuambie.