YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 37
kwanza walitukatili ambao tulikosa mahojiano na Dr. Slaa. Sasa leo wamempa kikwete muda mreefu kuongea lakini Prof. Lipumba kule kigoma amefanyiwa usanii, yaani ameruhusiwa sekunde chache kisha mtangazaji akamsemea kidogo wakamtoa.....khaaa, nyie ITV mbona siwaelewi? Kwanini mnafanya haya?