Hawa jamaa akili zao wanazijua wao wenyewe!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Akili zingine huwa zinastaajabisha sana eti waje kushika madaraka ya nchi!?

#Biashara ya vyama vya siasa inalipa sana ona afya zao na mali walizonazo,fananisha na wale wazungusha mikono wa piiipoo pawaaa....(Kuna wajanja na wajinga miongoni MWAO)
 
Linapokuja suala la watu kupambania haki zao za kikatiba, nyie ng’ombe wa mama bakini tu kwenye zizi lenu!
 
Hakika nyani haoni kundule..CCM ndio balaa....
Kasoro wewe tu kapuku bwege mtozeni...
 
ungekuwa mwanamke sijui ingekuwaje au ndo cCm wote mnatabia za wivu kama wanawake kama samia
 

Huku akili zao ziko sawa.
 
ungekuwa mwanamke sijui ingekuwaje au ndo cCm wote mnatabia za wivu kama wanawake kama samia
nadhani wanawake kutibua minywele inaweza kua sio ajabu, lakini mwanaume kamili, inaonekana wazi kabisa ni uendawazimu kamili 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…