1. Jack Bauer huyu ni mzee wa matukio waliocheki 24hours watakubaliana na mimi ni mtu aliyejitoa sana kwa nchi yake kama kuna taarifa anaihitaji kutoka kwako ataipata kwa namna yeyote ile.
2. Chloe O'brian huyu dada naye ameshiriki ktk 24hours alifit sana ktk mambo ya mambo ya kucheza na computer ni mtu aliyefanikiwa kuiboronga na kutibua mipango mingi ya kigaidi ingawa hajui hata kushika pistol
3. Presiden Charles Rogan wa 24hours jamaa ni muoga ile mbaya ingawa kuamlisha kuua kwake haikua ishu kila jambo alilofanya lilikua kwa maslahi yake.
4. Michael Scorfield wa Prison Break ni jamaa mpole sana ingawa ana akili zilizopitiliza kifo chake mwisho wa series umeuzunisha wengi.
5. Lincoln Burrows ktk Prison Break ni jamaa mwenye hasira sana alipitia misukosuko sana mjomba huyu akipoint a gun kuja kwako ujue anakupiga kweli.
6. Theodore Bagwell "T-Bag" mzee wa kula watu viboga gerezani mkatili ile mbaya mara zote yeye ni mtu wa kutibua mipango. Aliondoka na bag ya pesa akawaachia wenzake vitabu.
7. Benjamin ktk series za Lost ni mpole lakini viza vyake.
8. Jumong ktk series za Jumong kutoka korea userious wake ni noma ile mbaya jamaa anapiga panga mwanzo mwisho.
9. Young Po ktk series za Jumong ana mkosi ile mbaya kila alifanyalo lina bounce