Hawa jamaa vietee wanaziona kama uchafu

Hawa jamaa vietee wanaziona kama uchafu

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Ukijua kuna levels kwenye ufisadi hawa jamaa kwenye kujitofautisha na wale mafisadi wetu wao wamekuja na hizi chuma, viete wanaona kama uchafu. Tuendelee kulima matembele.View attachment 2653059View attachment 2653058View attachment 2653060
IMG_20230610_212047.jpg
 
kuna mwaka mmoja nyuma kampuni ya Rolls Royce ilitka kumshtaki mwarabu mmoja alikuwa anaitumia gari ya kifahari Rolls royce kukatia majani ngamia wake hili ilikuwa inashusha hadhi na thamani ya gari.

Swali hawa jamaa wanatoa wapi pesa mbona kwao hivi ni vitu vya kawaida kama Dubai na nchi yao ni ndogo sana?
 
Mafuta
 
Usimamizi mzuri wa rasilimali zao,uwajibikaji na visima vya mafuta wanavomiliki vinawapa utajuri tosha
 
kuna mwaka mmoja nyuma kampuni ya Rolls Royce ilitka kumshtaki mwarabu mmoja alikuwa anaitumia gari ya kifahari Rolls royce kukatia majani ngamia wake hili ilikuwa inashusha hadhi na thamani ya gari.

Swali hawa jamaa wanatoa wapi pesa mbona kwao hivi ni vitu vya kawaida kama Dubai na nchi yao ni ndogo sana?
Kwa kuongezea maoni ya wadau hapo juu... kaao kodi pia ni rafiki, ukipata bilioni ya kibongo ni yako yote hamna konakona so hela ya kuishi vizuri unaiona while nchi zingine unalipa kodi karibia nusu ya hiyo pesa
 
Kama ni hivyo waje tuwapangishe na tiharahei🤣🤣
 
Kuanzia sasa tuzitegemee za kutosha sana mtaani! huku pembe za ndovu, dhahabu, na nyara nyingine za nchi zikitoroshwa kwenda huko kwao, kwa kiwango cha kutisha sana.

Yaani unamkabidhi nyani shamba la mahindi!
 
Back
Top Bottom