Na tayari bandari wanayo,tuombe Mungu may be vyombo vyetu vya ulinzi vitakuwa macho.Kuanzia sasa tuzitegemee za kutosha sana mtaani! huku pembe za ndovu, dhahabu, na nyara nyingine za nchi zikitoroshwa kwenda huko kwao, kwa kiwango cha kutisha sana.
Yaani unamkabidhi nyani shamba la mahindi!
kuna mwaka mmoja nyuma kampuni ya Rolls Royce ilitka kumshtaki mwarabu mmoja alikuwa anaitumia gari ya kifahari Rolls royce kukatia majani ngamia wake hili ilikuwa inashusha hadhi na thamani ya gari.
Swali hawa jamaa wanatoa wapi pesa mbona kwao hivi ni vitu vya kawaida kama Dubai na nchi yao ni ndogo sana?
Mafuta
Una mawazo yakimasikini sana,tafuta hela,tumia kichwa chako kufikiri,usipobadilika kifikra utakufa masikini,Kuanzia sasa tuzitegemee za kutosha sana mtaani! huku pembe za ndovu, dhahabu, na nyara nyingine za nchi zikitoroshwa kwenda huko kwao, kwa kiwango cha kutisha sana.
Yaani unamkabidhi nyani shamba la mahindi!
Kwa kuongezea maoni ya wadau hapo juu... kaao kodi pia ni rafiki, ukipata bilioni ya kibongo ni yako yote hamna konakona so hela ya kuishi vizuri unaiona while nchi zingine unalipa kodi karibia nusu ya hiyo pesa
Kuanzia sasa tuzitegemee za kutosha sana mtaani! huku pembe za ndovu, dhahabu, na nyara nyingine za nchi zikitoroshwa kwenda huko kwao, kwa kiwango cha kutisha sana.
Yaani unamkabidhi nyani shamba la mahindi!
Na tayari bandari wanayo,tuombe Mungu may be vyombo vyetu vya ulinzi vitakuwa macho.
Mawazo ya kimasikini haya,hao Dubai au unaweza kuita UAE wana hela wala sio kua eti ndio waje wapate hela kwa hiyo Bandari tu,wananunua team za soka huko Ulaya kama wananunua karanga,jana Man City kabeba UCL kwa uwekezaji wa hao hao Waarabu,Na tayari bandari wanayo,tuombe Mungu may be vyombo vyetu vya ulinzi vitakuwa macho.
Mimi naongelea utoroshwaji wa raslimali za Taifa. Na wala hakuna sehemu nimejiongelea mimi.acha mentality za kiafrika hizo mkuu, kila ukimuona mtu ana maisha uone kazipata kwa kukunyonya wewe.
Kwani hao wanao chukua resources huko ulaya kwao wana njaa?Mawazo ya kimasikini haya,hao Dubai au unaweza kuita UAE wana hela wala sio kua eti ndio waje wapate hela kwa hiyo Bandari tu,wananunua team za soka huko Ulaya kama wananunua karanga,jana Man City kabeba UCL kwa uwekezaji wa hao hao Waarabu,
Jichange hela ukatupie jicho Dubai,utakuja kudelete hiyo comment yako.
Kulinda rasilimali za nchi.viwe macho kwa ajili ya kufanya nini?
Wewe ni wakusikitikiwa tu aisee,fixed mind mentality haiwezi kukufikisha popote,wake up,Kwani hao wanao chukua resources huko ulaya kwao wana njaa?
Wewe ushajiuliza why jamaa zako wana nunua vitalu vya uwindaji kwa fujo? Ushajiuliza wale Twiga nao destination yao ilikuwa wapi na hujiulizi why kipindi cha nyuma nao tembo waipungua?
Hivi unafikiri wale chui wanao wafuga na baadhi ya wanyama kwenye nyumba zao wana watoa wapi?
Wewe kama una mahaba na waharabu ni ww.
Mimi naongelea utoroshwaji wa raslimali za Taifa. Na wala hakuna sehemu nimejiongelea mimi.
Kwani hao wanao chukua resources huko ulaya kwao wana njaa?
Wewe ushajiuliza why jamaa zako wana nunua vitalu vya uwindaji kwa fujo? Ushajiuliza wale Twiga nao destination yao ilikuwa wapi na hujiulizi why kipindi cha nyuma nao tembo waipungua?
Hivi unafikiri wale chui wanao wafuga na baadhi ya wanyama kwenye nyumba zao wana watoa wapi?
Wewe kama una mahaba na waharabu ni ww.
Mfumo wa dini Yao pia umechangia sana kuwaondoleaa ubinafsi, mwafrika ana Mali nyingi kuliko mwarabuhio sio hoja, Mafuta hata nchi nyingi za africa yapo kama Nigeria, ila bado maisha nimabovu. Tukubali tu jamaa wametutangulia sana.