Hawa jamaa vietee wanaziona kama uchafu

Hawa jamaa vietee wanaziona kama uchafu

kuna mwaka mmoja nyuma kampuni ya Rolls Royce ilitka kumshtaki mwarabu mmoja alikuwa anaitumia gari ya kifahari Rolls royce kukatia majani ngamia wake hili ilikuwa inashusha hadhi na thamani ya gari.

Swali hawa jamaa wanatoa wapi pesa mbona kwao hivi ni vitu vya kawaida kama Dubai na nchi yao ni ndogo sana?

akili kubwa mkuu, vichwa vyao vinafanyakazi, huku waafrika vichwa vyetu vinashindwa kufanya kazi.
 
Kuanzia sasa tuzitegemee za kutosha sana mtaani! huku pembe za ndovu, dhahabu, na nyara nyingine za nchi zikitoroshwa kwenda huko kwao, kwa kiwango cha kutisha sana.

Yaani unamkabidhi nyani shamba la mahindi!
Una mawazo yakimasikini sana,tafuta hela,tumia kichwa chako kufikiri,usipobadilika kifikra utakufa masikini,
Masikini huwaza kila aliyefanikiwa ni mwizi,mawazo yakijinga kabisa haya,wake up dogo.
 
Kwa kuongezea maoni ya wadau hapo juu... kaao kodi pia ni rafiki, ukipata bilioni ya kibongo ni yako yote hamna konakona so hela ya kuishi vizuri unaiona while nchi zingine unalipa kodi karibia nusu ya hiyo pesa

nchi zao hakuna makodi ya ajabu ajabu, tena hata kwa wageni mkuu unless ma company makubwa. Huku afrika sasa tunaiga nchi za kimagharibi mtu choka mbaya halafu unapigwa mikodi si ya kitoto.
 
Na tayari bandari wanayo,tuombe Mungu may be vyombo vyetu vya ulinzi vitakuwa macho.
Mawazo ya kimasikini haya,hao Dubai au unaweza kuita UAE wana hela wala sio kua eti ndio waje wapate hela kwa hiyo Bandari tu,wananunua team za soka huko Ulaya kama wananunua karanga,jana Man City kabeba UCL kwa uwekezaji wa hao hao Waarabu,

Jichange hela ukatupie jicho Dubai,utakuja kudelete hiyo comment yako.
 
Kwani hao wanao chukua resources huko ulaya kwao wana njaa?

Wewe ushajiuliza why jamaa zako wana nunua vitalu vya uwindaji kwa fujo? Ushajiuliza wale Twiga nao destination yao ilikuwa wapi na hujiulizi why kipindi cha nyuma nao tembo waipungua?

Hivi unafikiri wale chui wanao wafuga na baadhi ya wanyama kwenye nyumba zao wana watoa wapi?

Wewe kama una mahaba na waharabu ni ww.
 
Wewe ni wakusikitikiwa tu aisee,fixed mind mentality haiwezi kukufikisha popote,wake up,

Hao wanyama wanaowafuga wanapatikana Tz tu Dunia nzima Eeh!
 
Kwani hao wanao chukua resources huko ulaya kwao wana njaa?

Wewe ushajiuliza why jamaa zako wana nunua vitalu vya uwindaji kwa fujo? Ushajiuliza wale Twiga nao destination yao ilikuwa wapi na hujiulizi why kipindi cha nyuma nao tembo waipungua?

Hivi unafikiri wale chui wanao wafuga na baadhi ya wanyama kwenye nyumba zao wana watoa wapi?

Wewe kama una mahaba na waharabu ni ww.

kwa hiyo wewe unaamini kabisa ndani ya akili yako kuwa waarabu wanatoka kwao wanakuja huku kwetu kuiba chui? kama vile Selemani anavyokwenda kukwapua simu ya mtu kariakoo?
 
Back
Top Bottom