Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 156
- 296
hio sio hoja, Mafuta hata nchi nyingi za africa yapo kama Nigeria, ila bado maisha nimabovu. Tukubali tu jamaa wametutangulia sana.
Huyu achana nae kenge tu. Wafrika hata mwendokasi kwenye design ilikuwa na air-conditioning vituoni hadi kwenye mabasi ila kenge wakaona miafrika yenzao bora ipigike na joto na mafoleni. Tofauti ya sisi na wao siyo rasilimali ni mindset tu wenzetu wanapendana sisi tunaombeana maisha mabovukwani Africa hatuna mali za kurithi? mbona ni maskini wakutupwa?
Mbona kila siku tunaambiwa waarabu wavivu kutwa kuchwa wanakimbia nchi zao wanakimbilia ulaya?akili kubwa mkuu, vichwa vyao vinafanyakazi, huku waafrika vichwa vyetu vinashindwa kufanya kazi.
Vipi kuhusu usafi, mbona kama hilo eneo - pavement ni chafu!!Ukijua kuna levels kwenye ufisadi hawa jamaa kwenye kujitofautisha na wale mafisadi wetu wao wamekuja na hizi chuma, viete wanaona kama uchafu. Tuendelee kulima matembele.View attachment 2653059View attachment 2653058View attachment 2653060View attachment 2653061
Nimecheka sana jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sisi wengine tunasindikiza tu yaani kwenda kwa morombo kula nusu kilo mbuzi na ugali roho inauma unaona unatumia hela vibaya
Hujui kama wao ndo wanafanya figisu kuavoid competition
Mbona kila siku tunaambiwa waarabu wavivu kutwa kuchwa wanakimbia nchi zao wanakimbilia ulaya?
Huyu achana nae kenge tu. Wafrika hata mwendokasi kwenye design ilikuwa na air-conditioning vituoni hadi kwenye mabasi ila kenge wakaona miafrika yenzao bora ipigike na joto na mafoleni. Tofauti ya sisi na wao siyo rasilimali ni mindset tu wenzetu wanapendana sisi tunaombeana maisha mabovu
Waarabu orijino wenyewe ni kama wazungu tu tofauti majina ya kiislamu. Muarabu na mzungu ndo wanaofanana zaidi kuliko race zingine.waarabu wa wapi hao? inaonekanwa unazungumzia nchi zenye vita ndugu. Nchi zilizo na utulivu wanakula maisha tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arabs maarifa hawana ila mpunga wanao
Asians hawana utajiri ila wana determination
Wazungu wana maarifa
Waafrika tuna rasilimali ila hatujui tufanyaje ila si haba madushe makubwa na wanawake wenye mashape ya hatari
Hawaogopiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanafuga Simba nyumbani kama pets tu
Hela kama ipo furahia maisha
Tumeuzwa aiseeVdo clip ya huo msafara wao wa magari yakifahari hii hapa.
Ngamia akiingiza kichwa kibandani kinachofuata unakijua mkuuMuhimu walipe Kodi stahiki na wafate sheria..
Wameshaanza kuingia!!Ukijua kuna levels kwenye ufisadi hawa jamaa kwenye kujitofautisha na wale mafisadi wetu wao wamekuja na hizi chuma,
Dubai siyo nchi.kuna mwaka mmoja nyuma kampuni ya Rolls Royce ilitka kumshtaki mwarabu mmoja alikuwa anaitumia gari ya kifahari Rolls royce kukatia majani ngamia wake hili ilikuwa inashusha hadhi na thamani ya gari.
Swali hawa jamaa wanatoa wapi pesa mbona kwao hivi ni vitu vya kawaida kama Dubai na nchi yao ni ndogo sana?