Hawa jamaa vietee wanaziona kama uchafu

Hawa jamaa vietee wanaziona kama uchafu

kwani Africa hatuna mali za kurithi? mbona ni maskini wakutupwa?
Huyu achana nae kenge tu. Wafrika hata mwendokasi kwenye design ilikuwa na air-conditioning vituoni hadi kwenye mabasi ila kenge wakaona miafrika yenzao bora ipigike na joto na mafoleni. Tofauti ya sisi na wao siyo rasilimali ni mindset tu wenzetu wanapendana sisi tunaombeana maisha mabovu
 
Mbona kila siku tunaambiwa waarabu wavivu kutwa kuchwa wanakimbia nchi zao wanakimbilia ulaya?

waarabu wa wapi hao? inaonekanwa unazungumzia nchi zenye vita ndugu. Nchi zilizo na utulivu wanakula maisha tu.
 
Huyu achana nae kenge tu. Wafrika hata mwendokasi kwenye design ilikuwa na air-conditioning vituoni hadi kwenye mabasi ila kenge wakaona miafrika yenzao bora ipigike na joto na mafoleni. Tofauti ya sisi na wao siyo rasilimali ni mindset tu wenzetu wanapendana sisi tunaombeana maisha mabovu

Umemaliza kila kitu, Waafrika wenyewe kwa wenyewe hatupendani.
 
Arabs maarifa hawana ila mpunga wanao
Asians hawana utajiri ila wana determination
Wazungu wana maarifa
Waafrika tuna rasilimali ila hatujui tufanyaje ila si haba madushe makubwa na wanawake wenye mashape ya hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna mwaka mmoja nyuma kampuni ya Rolls Royce ilitka kumshtaki mwarabu mmoja alikuwa anaitumia gari ya kifahari Rolls royce kukatia majani ngamia wake hili ilikuwa inashusha hadhi na thamani ya gari.

Swali hawa jamaa wanatoa wapi pesa mbona kwao hivi ni vitu vya kawaida kama Dubai na nchi yao ni ndogo sana?
Dubai siyo nchi.
 
Back
Top Bottom