Marndeleo yasiyo kuwa na mipango ni matumizi mabaya ya pesa!
Kuna jamaa hawamalizi kuchimba mitaro mtaani, kila mwaka wana chimba chimbua hata vya maana havionekani!
Wanatandaza mabomba yasiyotoa maji kila mwaka!
Wananchi maeneo mengi dar hawana huduma bora za maji lakini sahivi kila sehemu zimechimbuliwa hovyo hovyo wanafumua paving za watu hovyo, wanakatakata mabomba ya maji ya watu, wanachimbua njia hazipitiki hata cha maana hatuoni!
Hata kama jiji la dar linahitaji marndeleo lakini bila kuweka mipango huu ni uchafuzi wa mazingira!
Haiwezekani kila mwaka wanachimbua chimbua hovyo barabara mtaaani nq kuharibu miundombinu ya watu!.