Hawa jamaa wameanza kulaumu waamuzi wa CAF eti wamependelea mwenyeji. Wamesahau kuwa ile mechi walishinda wao.
Hata mashabiki wanalalamikiwa eti walipiga mafataki mengi sana. Lakini tulioangalia mechi, tunajua kuwa ule moshi uliwasaidia wao maana kuna wakati walikuwa wamefanyiwa msako (presha) mkali na ikawa bahati mashabiki waliupoza mchezo.