Hawa jamaa wanalalamikia Mwamuzi aliyewabeba Fainali huku wakitarajia CAF imwadhibu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hawa jamaa wameanza kulaumu waamuzi wa CAF eti wamependelea mwenyeji. Wamesahau kuwa ile mechi walishinda wao.

Hata mashabiki wanalalamikiwa eti walipiga mafataki mengi sana. Lakini tulioangalia mechi, tunajua kuwa ule moshi uliwasaidia wao maana kuna wakati walikuwa wamefanyiwa msako (presha) mkali na ikawa bahati mashabiki waliupoza mchezo.
 
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Wale washabiki niliona wapumbavu waliiga fataki wakati timu Yao inaipa pressure ya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom