Hawa jamaa wanaongoza kwa mahusiano


MAHUSIANO AU UZINZI..?:twitch:
 
Ha ha ha nimecheka mmesahau Supervisors wa hotel kwa waitress
 
Ooooops! Hii thread ni noma.
Lakini naona kila mtu ana sehemu yake ya KULIA hawa wa2.
Hata sisi Ma-Engineer hawa wauza MSOSI kwa cafeteria na WAFANYA USAFI maofisini ni balaa!
Oooh! nimesahau hawa KK SECURITY bila kumtokea hutoi madili nje!!!!
 
Marubani!!!! Ma Cabin Attendant...... aka Cabin Crew,, au Air Hostess..
 
Alafu wale wanapenda sana kuharibu vitoto vivulana wananikera mm

Fidel, they are real bad i hate them! wanakaa chini ya mwamvili wa dini. wanaharibu vitoto aaaaah.!
 
Mbona mmesahau waganga wa kienyeji, nakumbuka story ya sheikh yahya na jamaa alimpeleka mkewe kutibiwa baada ya kupona mke akaomba talaka ha ha haaaa!!!!!
 
Yaani uki-sum up hizo access zote tajwa hapo juu, utagundua kwamba SI KWELI KABISA KUSEMA FOOTBALL ndio inaongoza kwa umaarufu duniani
 
sasa wewe ni mzoefu na wewe uko kwenye kundilipi kati ya hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…