Hawa jamaa wanaongoza kwa mahusiano

Microfinance oficers kwa ahadi za mikopo hao ni balaa
 
Microfinance oficers kwa ahadi za mikopo hao ni balaa

Wanajiita Loan Officer usiombee umwache demu wako aende kuomba mkopo wa gari peke yake lazima jamaa akague kwanza
 
Wanajiita Loan Officer usiombee umwache demu wako aende kuomba mkopo wa gari peke yake lazima jamaa akague kwanza

Mmmmh si ndo anapata mkopo haraka au!!
 
Jamani huu kweli ni udhalilishaji wa wanawake. yaani ni wapenda vya bure. Hayaaa...
 
Na marubani kwa ma air hostess,si unajua kuna mambo ya flight za dar _ nairobi overnight stay Hilton nairobi na kadhalika!
 
he, sasa kabaki nani mbona wote wamo?


Si mafundi cherehani ndiyo wenyewe hawana ubaya na wateja wao hawa na hata ma bank teller huwa kila anayekuja counter anamkataa na kumbia kua yeye hapo ameshika kwa muda tu yeye anakuwa meneja mikopo siku chache zijazo
 

vipi hao waendesha magari yenye namba za STK? hawamo kwenye hilo kundi?
 
madaktari na madereva taxi.........ni too much......

hii ya moderators nahisi its true........
 
inaonesha jinsi waswahili tulivyo endekeza ngono.... na kutowathamini wanawake wetu...

wahindi na wengine ni tofauti kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…