Hawa jamaa wanatuona kama vile watanzania “hamnazo”

Hawa jamaa wanatuona kama vile watanzania “hamnazo”

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,147
Reaction score
2,919
Kuna mambo mengine yanatia hasira sana. Wauwe wenyewe halafu waonyeshe wao ndio wana uchungu sana kuliko wafiwa na wanaopost hayo mauaji mtandaoni.

Just imagine wao ndio wafanye mauji ila wao ndio iwaumize na kuwasikitisha zaidi ya wafiwa. This arrogance is unacceptable guys, we need to do something before it is too late. We need to do it now.

Mwigulu anatuambia eti kutaja idadi ya waliouawa ni kusherehekea, like seriously? Toka lini kutaja waliouawa imekuwa sherehe? Ajali zinatokea idadi ya waliokufa inatajwa, waliokuwa wanakufa kwa korona idadi ilikuwa inatajwa, wapalestina wanaouliwa idadi inatajwa, duniani kote kunapotokea majanga ya asili kama tetemeko la ardhi, sunami, vimbuga, mafuriko idadi ya wanaofariki inatajwa. Leo hawa mashetani wanatuambia kutaja vifo ni kusherehekea, wanatuona sisi mazuzu eeh, kwamba wanaweza kutumanipulate wanavyotaka.

Sasa watanzania niwaambie; hawa jamaa wakisalia madarakani watatufanyia ukatiri wa kutisha. December 9 ni nafasi pekee tuliyonayo ya kuwafurumusha otherwise we are dead. Tutaishi maisha ya mateso sana kama watapita kwenye hili. If these murderers get away with this massacre we are dead, hell will be wide open on us.
 
Back
Top Bottom