Nimekutana na hili tangazo kwenye group moja la whatsup. Nadhani kwenye mkutano huu vyombo vya dola viwepo na wahusika wa kusaidia wananchi kuondokana na fikra potofu - kudanganya kilimo kinafanywa kwa njia ya simu na kuwekeza mahela bila kufanikiwa, wapewe haki zao!