Harzad ni mzandiki samata ni mzandikiWaliompigia Messi walitoka bara gani?
Of course mkuu, kila kitu duniani ni siasa...Hivi unadhani Hazard hajui kuwa Messi ni bora kuliko Ngolo Kante?
Maneno yako2 haya maneno ya wengi waliyqsema jumatatu iliyopitaHata wasipompigia Kura Uwezo wa Messi na Ubora wake ni Zaidi ya Mchezaji Yeyote Kuwahi Kutokea Duniani!