Hawa ma captain hawauoni uwezo wa Messi au ni ubara?

Hawa ma captain hawauoni uwezo wa Messi au ni ubara?

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
Baada ya kutolewa tuzo ya mchezaji bora duniani
Leo nikiwa naperuzi document yenye matokeo ya kura zilizopigwa na macaptain wa timu za taifa kuna baadhi ya ma captain walinishangaza
ipo hivi

Hugo Lloris wa Ufaransa alimpigia kura-
Ronaldo,Sergio Ramos na Hary kane

Bufon wa italy- Ronaldo,Dyabala na Modric

Roben wa uholanzi - Ronaldo,Ramos na Marcelo

Hazard wa Ubelgiji-Ngolo kante,Ronaldo na Modric

Gunnarson wa Iceland-Ronaldo,Neymar,Modric

Stefan Lichisteiner wa uswisi-Ronaldo,Ramos,Buffon
 
Who-voted-for-who-the-results-of-the-THE-BEST-MENSs-PLAYER-2017-vote-for-the-FIFA-awards-in-Lon.jpg
 
Team Andunje mtazidi kuchanganyikiwa kila siku zinavyosonga. Pambaneni na hali zenu,Cr 7 ameshakuwa bora na atazidi kuwa bora zaidi.
 
Back
Top Bottom