Hawa ma Legendary walitisha sana enzi zao!

Dumas the terrible

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2021
Posts
4,779
Reaction score
9,999
Mzuka Wana jamvi natumaini mpo powa kabisa,Leo nawaletea malegend Hawa hapa wakuitwa
Earth Wind & Fire
Kwa ufupi waliitwa EW&F au EWF
Hii ilikua ni band ya mziki ilianzishwa mwaka 1969 na Maurice white
Hawa jamaa walipiga genres za R&B,Soul,Jazz,disco,Pop,dance,Latin,nkHawa miamba kutoka
Chicago, Illinois walikua moto Sana na inatajwa ni Moja ya band Bora ya muziki kuwahi tokea Duniani wao walipenda kujiita miungu wa mziki wakitumia formula za Pyramid
Kama hapo juu pichani,

EWF waliwahi kua chini ya lebel za Warner Bros ,ARC,Columbia,Kalimba na Sanctuary



Liliundwa na Members Kama Maurice white
(katikati pichani )
Akiwa Kama vocalist
Wengine Kama Philip Bailey,Verdine White,Ralph Johnson na Wengine wengi waliipa mafanikio makubwa yaliyowafanya wavunje rekodi kadhaa ikiwemo ya bend Bora ya wakati wote.

Moja ya ya Ngoma Bora walizotoa hawa miamba kama
Boogie Wonderland,
Let's groove,
Reasons,
Fantas
Na nyingine bomba zilizounda Albums mbali mbali ziliwafanya wawe kwenye chart Kwa miongo kadhaa,

EWF walikua moto na Wana tune za kipekee katika sauti na upigaji vyombo Kwa umaridadi na walikua band ya mfano kwa wanamuziki wengi

Walipata kuchukua
7 Grammy awards
4 American music awards

Mwaka 2019 Waliipewa tuzo maalumu zijulikazo Kama
Kennedy center honors Awards
Moja ya tuzo za juu za heshima Kwa kutambua michango ya wanamuziki wakongwe Moja ya umaarufu wa tuzo Hizo ni kuhudhuria watu mashuhuri Duniani ikiwemo na rais wa Marekani wa wakati huo Barack Obama na mkewe Michelle wakiwa kama wageni rasmi.

Hakika Earth Wind & Fire ni Moja ya miungu wa muziki Duniani hutachoka kuwasikiliza Kwa vibao maridhawa!

The terrible!
 
Vizazi vya JAZZ hivi sisi wengine hata trace zao hatujazikuta
Hahahaha au sio hata Mimi nilizaliwa juzi juzi tu nilikuta wajomba zangu Wana kassete zao nikisikia nyimbo zao wakanifanya niwe mpenzi wa wanamuziki na band Bora za kitambo hicho,
Ila Hawa walikua kizazi Cha golden age kipindi black america wanafanya revolution Kubwa kwenye mziki!
 
Ngoma gani ili- hit SANA AMBAYO INAWEZA NIVUTIA KUISIKILIZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…