We pmwak naona umelewa maana ukishalewaga huwa cmu yako inafanyiwa vituko ukweli ndo huo hebu tuliza akili usiwe kama upo bungen,we unauliza kama nani?we ni muhaya?we unanilipa mshahara?we umenizaa?naunga mkono hoja
Mmh unamaanisha kuwa huyo juu ni MITISA, yule akikosa picha huwa anaweka za kwake.,sasa naona huu ni utani wa ngumi,na ujiandae kwa maneno maana ana matusi cunajua yupo kiwandani.