Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Mifano ya wenye mademu wa kizungu:
Harmonize
Linex
Chindo man
Hussein machozi
Gentriz
Mad ice
Young killer
Jaymond nk[emoji120]
Naomba kutajiwa uwiano wa wawafrika/wa tz walio oa mademu wa kiarabu yan pure arab syo koko?[emoji120]
Waarabu wengi wao wanajitambua, na imani imewajaa. Sasa unataka mwarabu wa asili au chotara awe demu wako!!, hivi una mke kweli? Je! Una watoto? Hivi unawezaje kuongea vitu havina mantiki! Pole sana