Sol de Mayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 6,515 Reaction score 6,230 Sep 19, 2023 #181 Full charge said: Mifano ya wenye mademu wa kizungu: Harmonize Linex Chindo man Hussein machozi Gentriz Mad ice Young killer Jaymond nk[emoji120] Naomba kutajiwa uwiano wa wawafrika/wa tz walio oa mademu wa kiarabu yan pure arab syo koko?[emoji120] Click to expand... Waarabu wengi wao wanajitambua, na imani imewajaa. Sasa unataka mwarabu wa asili au chotara awe demu wako!!, hivi una mke kweli? Je! Una watoto? Hivi unawezaje kuongea vitu havina mantiki! Pole sana
Full charge said: Mifano ya wenye mademu wa kizungu: Harmonize Linex Chindo man Hussein machozi Gentriz Mad ice Young killer Jaymond nk[emoji120] Naomba kutajiwa uwiano wa wawafrika/wa tz walio oa mademu wa kiarabu yan pure arab syo koko?[emoji120] Click to expand... Waarabu wengi wao wanajitambua, na imani imewajaa. Sasa unataka mwarabu wa asili au chotara awe demu wako!!, hivi una mke kweli? Je! Una watoto? Hivi unawezaje kuongea vitu havina mantiki! Pole sana