Hawa Man City na hili jini lao wanafanya EPL ikose mvuto

Pantomath

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
842
Reaction score
3,449
Yaani jitu linafunga tuu, huyu jamaa angebaki tuu huko kwao, mabeki wa epl wamemshindwa, basi angalau timu nyingne zingekua na wachezaji level yake kama Mbappe, Messi, Neymar, n.k.

Mpka unatamani si wapange njama wamvunje akae nje. Ndio nimeamini kwa nini fifa hua wanadhibiti bajeti za timu, hawa waarabu watatuharibia mpira na mipesa yao.

Newcastle ndio huyuu tunamuona mapema hivi. Angalia kule PSG.

Ku Compete na City epl ni ngumu sanaa, huyu arsenal pale juu, Kwa ratiba yake baada ya mechi ya leo mpk Feb Sidhani kama ataweza kubaki pale, na akibaki basi Kweli ni bingwa.

Hakuna mazingira unaenda kuangalia mechi yake huyu utarajie afungwe, hio inatokeaga kwa surprise, Surprise hizi ni chache sana kumfanya asichukue ubingwa.

Niwapongezs Jirani zangu Liverpool kwa kuleta ushindani kwa hili jipu.
 
Mechi nzuri ya Man City kuangalia ni akicheza na liver, au uefa kwenye ma giants na ligi yao..

Mtu inafika wakati timu yako ikicheza na hawa wahuni vibanda vya mpira unaona ni kituo cha polisi,

Nipo naangalia Mechi yao hapa, Halaand kwa kweli kashindikana, mpaka anaboa kwa kweli kama unavyosema, bora ingekua enzi za vichaa akina Joe Barton, roy keane n.k.

City anakikosi kikubwa sanaaa, yaani huyu hata afanye Sub timu nzima bado Atasumbua tuu..

Tatizo Jamaa ndio kwaanza 22, safari ni ndefu sanaa, na hata timu nyingne zikisema ziingie mfukoni, bado wachezaji kariba ya Halaand ni wachache sanaa,

Timu kubwa Epl kwa sasa ni Mediocre mbele ya City, ila ngoja watia akili, njiaa hii hii ndio itaifanya wajitathmini ili wawe bora nao, na hapo ndio ligi inakua bora
 
Nina imani atavunjwa tuuu ile miguu yake kama spoku za baiskeli, atuachie ligi yetuu.
 
Hao mabeki wamekuambia wameshindwa kumkaba? Acha kusemea kazi za watu kijana.
Uliponiudhi sana ni kuingiza timu kubwa arsenal kwenye mambo ya kijinga.
Arsenal ndoo
Halland kiatu.
 
Vitu vingine mnavikuza bila sababu. Kwa Man City hiyo na jinsi inavyocheza hata mimi nikiwa straika natamba. Hii ni sawa na ile Barcelona ya Akina Nesta, Xavi, Messi, Gaucho, Max Lopez and Cos. Ile hata mimi ningeshaini pale mbele. Angekuwa mzuri na anasifiwa hivyo angecheza Fulham au aje huku kwa wana Lunyasi acheze na Kibu Denis.
 
Mamaaeeee, kashikwa shatii...
Arsenal njia inazidi kua nyeupee..
 
EPL mlipigaga kelele Gurdiola siyo kocha, EPL hawezi domonate.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…