Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,449
Yaani jitu linafunga tuu, huyu jamaa angebaki tuu huko kwao, mabeki wa epl wamemshindwa, basi angalau timu nyingne zingekua na wachezaji level yake kama Mbappe, Messi, Neymar, n.k.
Mpka unatamani si wapange njama wamvunje akae nje. Ndio nimeamini kwa nini fifa hua wanadhibiti bajeti za timu, hawa waarabu watatuharibia mpira na mipesa yao.
Newcastle ndio huyuu tunamuona mapema hivi. Angalia kule PSG.
Ku Compete na City epl ni ngumu sanaa, huyu arsenal pale juu, Kwa ratiba yake baada ya mechi ya leo mpk Feb Sidhani kama ataweza kubaki pale, na akibaki basi Kweli ni bingwa.
Hakuna mazingira unaenda kuangalia mechi yake huyu utarajie afungwe, hio inatokeaga kwa surprise, Surprise hizi ni chache sana kumfanya asichukue ubingwa.
Niwapongezs Jirani zangu Liverpool kwa kuleta ushindani kwa hili jipu.