Daah Umejibu kizungu Chief..Ole hafukuzwi sababu kazi alioajiriwa ndio aliofanya.
1. Ameondoa deadwoods zote na mishahara mikubwa, ukitoa DE gea waliobakia wote mishahara ni midogo na ina karibia kulingana,
2. Toka aje team ina perform vizuri, kwa Mara ya kwanza timu imeingia top 4 Mara 2 mfululizo msimu wa kwanza nafasi ya 3 na wa pili nafasi ya 2, realistic Goals msimu huu ni kuchallenge Ubingwa, hata kama hata chukua Epl angalau mpaka mwisho wa msimu timu iwe inagombania Ubingwa.
3. Usajili wake ni mzuri, wachezaji vijana ambao wa nataka kuchezea Man U na watu ambao hawaji kula mshahara bure na kubweteka.
4.amerudisha culture ya Timu, academy inapata nafasi, soka la Utd direct kushambulia, so far ushindi wa Goli 5 umekuwa kawaida, etc.
5. Timu imeanza kuwa na depth kila idara, mapengo yote yamezibwa, na sasa kikosi unakiona kimekamilika, hata kama Ole anaondoka Leo man utd, atakua ndio kocha mwenye mafanikio kwetu man utd kwa kuweka foundation ya mafanikio.
Ila vikombe ni.sehemu kubwa ya mafanikio ya timu.Ole hafukuzwi sababu kazi alioajiriwa ndio aliofanya.
1. Ameondoa deadwoods zote na mishahara mikubwa, ukitoa DE gea waliobakia wote mishahara ni midogo na ina karibia kulingana,
2. Toka aje team ina perform vizuri, kwa Mara ya kwanza timu imeingia top 4 Mara 2 mfululizo msimu wa kwanza nafasi ya 3 na wa pili nafasi ya 2, realistic Goals msimu huu ni kuchallenge Ubingwa, hata kama hata chukua Epl angalau mpaka mwisho wa msimu timu iwe inagombania Ubingwa.
3. Usajili wake ni mzuri, wachezaji vijana ambao wa nataka kuchezea Man U na watu ambao hawaji kula mshahara bure na kubweteka.
4.amerudisha culture ya Timu, academy inapata nafasi, soka la Utd direct kushambulia, so far ushindi wa Goli 5 umekuwa kawaida, etc.
5. Timu imeanza kuwa na depth kila idara, mapengo yote yamezibwa, na sasa kikosi unakiona kimekamilika, hata kama Ole anaondoka Leo man utd, atakua ndio kocha mwenye mafanikio kwetu man utd kwa kuweka foundation ya mafanikio.
Mkuu hao.wazungu hao hao ndio wanaotaka vikombe. Subiria muda ndio mwalimu mzuri msimu ukiisha kapa watamgawana sema wanamlelea kwa kuwa ni mantesa united mwenzaoDaah Umejibu kizungu Chief..
Hio Platform alioweka ndio base ya vikombe, kila mwaka kuna standard anawekewa na Body aifikie, asipifikia kwa baadae hata yeye atafukuzwa. Ila kwa sasa ngumu kufukuzwa kwa alivyofanya.
Kumbe timu kubwa km.man u inayosajili wachezaji.wa garama kubwa nayo ina jiwekea malengo.ya kuishia top 4 tu.??Hio Platform alioweka ndio base ya vikombe, kila mwaka kuna standard anawekewa na Body aifikie, asipifikia kwa baadae hata yeye atafukuzwa. Ila kwa sasa ngumu kufukuzwa kwa alivyofanya.
Yaah.. Hata mimi natamani msimu huu Man United isitoke patupu.Mkuu hao.wazungu hao hao ndio wanaotaka vikombe. Subiria muda ndio mwalimu mzuri msimu ukiisha kapa watamgawana sema wanamlelea kwa kuwa ni mantesa united mwenzao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kweli. Pressure itakayo panda itakua kubwa kwake sema watamuacha maana ndugu yaoYaah.. Hata mimi natamani msimu huu Man United isitoke patupu.
Ila kwenye kila mafanikio kuna mipango ya muda mrefu, kati na mifupi.
So alichofanya OGS ni kukamilisha Mipango mama ya timu, suala la ubingwa inategemeana na fact nyingi ikiwemo ambazo hazitabiriki. So this time akikosa kikombe chochote, pressure inaweza kua kubwa akafurushwa.
Yaani haya mambo ni kama binti aolewe then wakwe wanaona hamna dalili za Mimba, Pressure inaanzia kwa muhusika kwanza😁😁🤣Hapo kweli. Pressure itakayo panda itakua kubwa kwake sema watamuacha maana ndugu yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika. Sema mm namuona sio kocha wa vikombe.Yaani haya mambo ni kama binti aolewe then wakwe wanaona hamna dalili za Mimba, Pressure inaanzia kwa muhusika kwanza[emoji16][emoji16][emoji1787]
Ata Mbuyu ulianza kama mchicha tuu
Hapo sasa. Ila itabidi abebe kikombe mwaka huu. Awamu ilopita alizngua kuwaachia wa spain kikombe kileAta Mbuyu ulianza kama mchicha tuu
Ole hafukuzwi sababu kazi alioajiriwa ndio aliofanya.
1. Ameondoa deadwoods zote na mishahara mikubwa, ukitoa DE gea waliobakia wote mishahara ni midogo na ina karibia kulingana,
2. Toka aje team ina perform vizuri, kwa Mara ya kwanza timu imeingia top 4 Mara 2 mfululizo msimu wa kwanza nafasi ya 3 na wa pili nafasi ya 2, realistic Goals msimu huu ni kuchallenge Ubingwa, hata kama hata chukua Epl angalau mpaka mwisho wa msimu timu iwe inagombania Ubingwa.
3. Usajili wake ni mzuri, wachezaji vijana ambao wa nataka kuchezea Man U na watu ambao hawaji kula mshahara bure na kubweteka.
4.amerudisha culture ya Timu, academy inapata nafasi, soka la Utd direct kushambulia, so far ushindi wa Goli 5 umekuwa kawaida, etc.
5. Timu imeanza kuwa na depth kila idara, mapengo yote yamezibwa, na sasa kikosi unakiona kimekamilika, hata kama Ole anaondoka Leo man utd, atakua ndio kocha mwenye mafanikio kwetu man utd kwa kuweka foundation ya mafanikio.
1. Usajili haufanywi na Kocha hata siku moja.Ole hafukuzwi sababu kazi alioajiriwa ndio aliofanya.
1. Ameondoa deadwoods zote na mishahara mikubwa, ukitoa DE gea waliobakia wote mishahara ni midogo na ina karibia kulingana,
2. Toka aje team ina perform vizuri, kwa Mara ya kwanza timu imeingia top 4 Mara 2 mfululizo msimu wa kwanza nafasi ya 3 na wa pili nafasi ya 2, realistic Goals msimu huu ni kuchallenge Ubingwa, hata kama hata chukua Epl angalau mpaka mwisho wa msimu timu iwe inagombania Ubingwa.
3. Usajili wake ni mzuri, wachezaji vijana ambao wa nataka kuchezea Man U na watu ambao hawaji kula mshahara bure na kubweteka.
4.amerudisha culture ya Timu, academy inapata nafasi, soka la Utd direct kushambulia, so far ushindi wa Goli 5 umekuwa kawaida, etc.
5. Timu imeanza kuwa na depth kila idara, mapengo yote yamezibwa, na sasa kikosi unakiona kimekamilika, hata kama Ole anaondoka Leo man utd, atakua ndio kocha mwenye mafanikio kwetu man utd kwa kuweka foundation ya mafanikio.
Inategemea na club, ila usajili wa Karibuni anafanya ole mwenyewe. Anasema Target zake na watu wa negotiations wanamaliza.1. Usajili haufanywi na Kocha hata siku moja.
2. Hata afanye nini kipimo chake kitakuwa makombe
Mwambie huyo. Bila makombe kocha ana umuhimu gani..? Leo klop anapendwa liverpool na tuchel anapendwa chelsea kisa vikombe1. Usajili haufanywi na Kocha hata siku moja.
2. Hata afanye nini kipimo chake kitakuwa makombe
Mkuu arsenal wenger alikua kocha mzuri ila alipoanza kukosa vikombe akaanza kuchukiwa mpaka akajiuzulu mwwnyewe. Furaha ya mchezi mwishon uuibuke na kikombeInategemea na club, ila usajili wa Karibuni anafanya ole mwenyewe. Anasema Target zake na watu wa negotiations wanamaliza.
Wenger si Alikuwa anachukua FA? Na Alivyoondoka Arsenal kulitokea nini?Mkuu arsenal wenger alikua kocha mzuri ila alipoanza kukosa vikombe akaanza kuchukiwa mpaka akajiuzulu mwwnyewe. Furaha ya mchezi mwishon uuibuke na kikombe
Sent using Jamii Forums mobile app